Mateso chakubanga
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 587
- 800
Hiyo haitawezekanaRais wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo Mh Felix Tshisekedi amesema yupo tayari kufanya biashara halali ya madini moja kwa moja kutoka DRC na Marekani, Tshisekedi amesema DRC ndio mmiliki wa madini hayo kuliko kuyapata kwa tabu na ulanguzi kutoka Rwanda, aidha, Tshisekedi ametoa wito kwa jumuiya ya ulaya kufanya baishara halali yenye maslahi mazuri pande zote na nchi ya Congo.
Inafikirisha watengeza magari ya umeme na ndio vinara huko usaRais wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo Mh Felix Tshisekedi amesema yupo tayari kufanya biashara halali ya madini moja kwa moja kutoka DRC na Marekani, Tshisekedi amesema DRC ndio mmiliki wa madini hayo kuliko kuyapata kwa tabu na ulanguzi kutoka Rwanda, aidha, Tshisekedi ametoa wito kwa jumuiya ya ulaya kufanya baishara halali yenye maslahi mazuri pande zote na nchi ya Congo.
Mwili mkubwa ni uzembe, wanawake wanajua, yule skeleton halali wakati Tshekedi anajijambiaFelix ni mzembe
Chadi kashaalikwa kwenye party kumbuka ni wababe kwenye hii mambo wanauzoefu sana kwenye kuzima uasi lets wait and see jeshi lao limekuwa bize bize saana mara kule Mali mara kule Libya mara kule kaskazini ya Chadi wako vizuri hii mambo wanaiweza sana.Na uzuri wacongo wako kwenye jumuiya nyingi za utengamano kazi kwao kutafuta msaada wasife na tai shingoni wako central Africa ,wako EAC na wako SADC. Nadhani huku central ndio akina Chadi wanapotokea.Na mziki pia waje batu ba nje kusaidia au mziki wanaweza Bakongolizi benyewe?
Good move..Rais wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo Mh Felix Tshisekedi amesema yupo tayari kufanya biashara halali ya madini moja kwa moja kutoka DRC na Marekani, Tshisekedi amesema DRC ndio mmiliki wa madini hayo kuliko kuyapata kwa tabu na ulanguzi kutoka Rwanda, aidha, Tshisekedi ametoa wito kwa jumuiya ya ulaya kufanya baishara halali yenye maslahi mazuri pande zote na nchi ya Congo.
Chadians wanaosumbuliwa na Boko Haram?! Na wamezoea Vita za Jangwani huko kwenye misitu ya Kongo na wao watatoka baruti tu.Chadi kashaalikwa kwenye party kumbuka ni wababe kwenye hii mambo wanauzoefu sana kwenye kuzima uasi lets wait and see jeshi lao limekuwa bize bize saana mara kule Mali mara kule Libya mara kule kaskazini ya Chadi wako vizuri hii mambo wanaiweza sana.Na uzuri wacongo wako kwenye jumuiya nyingi za utengamano kazi kwao kutafuta msaada wasife na tai shingoni wako central Africa ,wako EAC na wako SADC. Nadhani huku central ndio akina Chadi wanapotokea.
Urban warfareChadians wanaosumbuliwa na Boko Haram?! Na wamezoea Vita za Jangwani huko kwenye misitu ya Kongo na wao watatoka baruti tu.
Kagame aliitaja telavivMleta mada na Tishekedi wote mwezi mchanga wachimbaji wa cobalt, coltan na madini tofauti tofauti DR wanajulikana na wametajwa China na Russia. anakoelekea ataliwa kichwa.
Kuna boko haram Chad!?Chadians wanaosumbuliwa na Boko Haram?! Na wamezoea Vita za Jangwani huko kwenye misitu ya Kongo na wao watatoka baruti tu.
Ndo ucheze Mpira na mawani PK😳
Boko Haram, a violent Islamist insurgency, has terrorized communities around West Africa's Lake Chad Basin for years — creating new hardships and compounding existing ones for millions of people in northeast Nigeria, Cameroon, Chad and Niger, many of them still displaced and struggling to survive.Kuna boko haram Chad!?
Jiografia ya Chad imenitokaBoko Haram, a violent Islamist insurgency, has terrorized communities around West Africa's Lake Chad Basin for years — creating new hardships and compounding existing ones for millions of people in northeast Nigeria, Cameroon, Chad and Niger, many of them still displaced and struggling to survive.
Hiyo ni story nyingine, Boko haramu hiwa wanalisumbua sana jeshi la Chad.Jiografia ya Chad imenitoka
Siyo Chad tu, nigeria, cameroonHiyo ni story nyingine, Boko haramu hiwa wanalisumbua sana jeshi la Chad.