T14 Armata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2017 Posts 12,362 Reaction score 41,886 Feb 25, 2025 #21 imhotep said: Chadians wanaosumbuliwa na Boko Haram?! Na wamezoea Vita za Jangwani huko kwenye misitu ya Kongo na wao watatoka baruti tu. Click to expand... Kwenye suala la Boko Haram, hilo ni kundi la kigaidi. Magaidi wanaweza sumbua nchi yoyote ile unayoijua duniani. Kwenye suala la jangwani VS msituni uko sahihi.
imhotep said: Chadians wanaosumbuliwa na Boko Haram?! Na wamezoea Vita za Jangwani huko kwenye misitu ya Kongo na wao watatoka baruti tu. Click to expand... Kwenye suala la Boko Haram, hilo ni kundi la kigaidi. Magaidi wanaweza sumbua nchi yoyote ile unayoijua duniani. Kwenye suala la jangwani VS msituni uko sahihi.
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Feb 25, 2025 #22 T14 Armata said: Kwenye suala la Boko Haram, hilo ni kundi la kigaidi. Magaidi wanaweza sumbua nchi yoyote ile unayoijua duniani. Kwenye suala la jangwani VS msituni uko sahihi. Click to expand... Wataliwa sana vichwa huko Kongo ya Mashariki.
T14 Armata said: Kwenye suala la Boko Haram, hilo ni kundi la kigaidi. Magaidi wanaweza sumbua nchi yoyote ile unayoijua duniani. Kwenye suala la jangwani VS msituni uko sahihi. Click to expand... Wataliwa sana vichwa huko Kongo ya Mashariki.
Mateso chakubanga JF-Expert Member Joined May 10, 2021 Posts 587 Reaction score 800 Feb 25, 2025 Thread starter #23 Teknocrat said: View attachment 3248476 Click to expand... Sasa mbona jamaa a amuachia mshambuliaji kirahisi tu si watapigwa goli? Mbona hamny'ang'anyi mpira au amzoe na mpira wake??
Teknocrat said: View attachment 3248476 Click to expand... Sasa mbona jamaa a amuachia mshambuliaji kirahisi tu si watapigwa goli? Mbona hamny'ang'anyi mpira au amzoe na mpira wake??