Mufata JF-Expert Member Joined Jan 25, 2017 Posts 254 Reaction score 276 Oct 31, 2017 #61 Meza ya Bwana mara 52 ni utaratibu wa baadhi ya madhehebu na sio maagizo ya kibiblia, biblia inasema fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu, haiweki kiwango cha siku kwa mwaka.
Meza ya Bwana mara 52 ni utaratibu wa baadhi ya madhehebu na sio maagizo ya kibiblia, biblia inasema fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu, haiweki kiwango cha siku kwa mwaka.