ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,938
- 6,942
Nawaageni kwa kuwaambia yafuatayo.
PASAKA= Kwa lugha nyingine ni pass over, yaani malaika mharibifu akifika kwa wana wa israel, akisha kuona damu ya mwana mbuzi mlangoni, anapita mbali kwenda nyumba ya jirani asiye na damu hiyo, kuua mzaliwa wa kwanza wa kila kiumbe.
Waisrael waliagizwa kila mwaka wawe na sikukuu ya kukumbuka tukio hilo ambalo kwa wao ilikuwa ni ushindi mkubwa dhidi ya farao, walikombolewa.
Meza ya Bwana, ni utaratibu aliouanzisha YESU KRISTO, ili kupitia tukio hilo tukumbuke kukombolewa kwetu, kupatanishwa kwetu na Mungu kupitia yeye. Aliagiza ifanyike kila tukutanapo (yaani kila siku ya kwanza ya juma tunapokutana kwa ajili ya ibada) kwa ukumbusho wake.
similarities.
1. zote zimeanzishwa na Mungu kupitia mitume wake.
2. Zote zinalenga kuwakumbusha wanadamu walivyokombolewa.
differences.
1. PASAKA inawahusu waisrael tu, Meza ya Bwana inawahusu wanadamu wote waliookolewa yaani WAKRISTO.
2. PASAKA ilifanyika mara moja kwa mwaka, MEZA ya BWANA hufanyika mara 52 kwa mwaka, yaani kila siku ya kwanza ya juma lazima wakristo wakusanyike ili kuumega mkate.
HITIMISHO.
Tumerithi dini zetu toka kwa babu zote. Ni vema sasa kila mtu akaanza safari ya kuijua kweli kwa kuyachunguza na kuyasoma kwa kina maandishi ya biblia. Siyo kila ulilorithishwa na wazazi wako ni jema. Soma, uliza na chukua hatua ili kumtumikia MUNGU katika roho na kweli.
Jumapili njem,a waungwana.