Female Genital Mutilation (FGM) kwa kina

Female Genital Mutilation (FGM) kwa kina

Nawaageni kwa kuwaambia yafuatayo.

PASAKA= Kwa lugha nyingine ni pass over, yaani malaika mharibifu akifika kwa wana wa israel, akisha kuona damu ya mwana mbuzi mlangoni, anapita mbali kwenda nyumba ya jirani asiye na damu hiyo, kuua mzaliwa wa kwanza wa kila kiumbe.

Waisrael waliagizwa kila mwaka wawe na sikukuu ya kukumbuka tukio hilo ambalo kwa wao ilikuwa ni ushindi mkubwa dhidi ya farao, walikombolewa.

Meza ya Bwana, ni utaratibu aliouanzisha YESU KRISTO, ili kupitia tukio hilo tukumbuke kukombolewa kwetu, kupatanishwa kwetu na Mungu kupitia yeye. Aliagiza ifanyike kila tukutanapo (yaani kila siku ya kwanza ya juma tunapokutana kwa ajili ya ibada) kwa ukumbusho wake.

similarities.
1. zote zimeanzishwa na Mungu kupitia mitume wake.
2. Zote zinalenga kuwakumbusha wanadamu walivyokombolewa.

differences.
1. PASAKA inawahusu waisrael tu, Meza ya Bwana inawahusu wanadamu wote waliookolewa yaani WAKRISTO.
2. PASAKA ilifanyika mara moja kwa mwaka, MEZA ya BWANA hufanyika mara 52 kwa mwaka, yaani kila siku ya kwanza ya juma lazima wakristo wakusanyike ili kuumega mkate.

HITIMISHO.

Tumerithi dini zetu toka kwa babu zote. Ni vema sasa kila mtu akaanza safari ya kuijua kweli kwa kuyachunguza na kuyasoma kwa kina maandishi ya biblia. Siyo kila ulilorithishwa na wazazi wako ni jema. Soma, uliza na chukua hatua ili kumtumikia MUNGU katika roho na kweli.

Jumapili njem,a waungwana.
 
Nyie watu mmenichekesha yaani!
Pasco pole kwa kuamshiwa kazi. Siku nataka kidumu ntakucheki kana una vacancy lol.

Nafurahi kusikia kuwa wanawake waliotahiriwa wanafurahia sex. Ila kaka isijekuwa ni function ya size na stamina tu.

All in all sijaona umuhimu wa kupeana maumivu ya kukata antennae. Namshukuru Mungu sijatokea kwenye tamaduni hizo.
King'a, nilisahau kusema ni zamani nilipokuwa kijana!, siku hizi ni jioni, niko kwenye za kiutu uzima, zile one night stop sipati pati sana!. Size na stamina doesn't matter much!, kule kuna elasticity ya kuaccomodate any size, any length (save for extra ordinary ambalo ni tatizo), wala sio stamina, bali technics tuu. Ningekuwa Waziri wa ustawi wa jamii, ningelazimisha kila mwanaume asome "kama sutra" na "love without fear!" ili kila mwanamke "afikishwe!". Tena kwa nyinyi wenye bahati ya kufika, mnadhani wale wenzenu wasifika "are missing a lot!, no!, "you can never miss something you never had!", kama wanawake wote wangekuwa waaminifu, 100% hata kwa kutofika, anaenjoy tuu mpaka hapo hapo anapoishia, na anajua ndio mwisho wake!, haya mambo ya kuchepuka, ndiyo haya ya kuja kutafutana asubuhi subihi, kisa ati "nimemdrop airport!" "siwezi kufanya chochote mpaka...!". Unamuuliza can't you thing of me!, mimi ni family man, japo single father, I have kids with me!, unakujaje saa 12:asubuhi!, ati najua school bus zote zinapita saa 11 hivyo nilijua watoto wameishakwenda shule, hivyo nimekuja kuku surprise na zawadi!.

Mambo mengine wee acha tuu tena wake za watu ndio balaa!.

Pasco.
 
Hapana kaka. Im very rational with my choices. Mfano kwetu kuna mila ya kutupa porini mtoto anaetanguliza jino la juu na kamwe siwezi kusupport hiyo. Kuna baadhi ya vitu sivikubali pia na niko wazi.
Huwa naangalia documentary inaitwa taboo. For the sake ya urembo kuna makabila huko papua new guinea wanachanjwa viwembe mwili mzima na kuwa na makovu kama mamba. Ati ni ujasiri. Aisee. Saa zingine wazungu hawatuonei banaa.
King'asti, nimetoa neno "ETHNOCENTRISM" kuwa haifai kuongelea tamaduni za wengine kwa kuangalia tamaduni zako. Nakuhakikishia, hata wewe ungezaliwa kwenye jamii za namna hiyo, ungewashangaa wanawake ambao hawafanyiwi kitu hiyo. Ungewaona waajabu, woga, wachafu n.k

Cha msingi ni tuheshimiane tu, unachokiona kizuri kwako, wengine wanakiona kibaya and vice versa. tujifunze kuheshimiana tu, ndo jambo la msingi nakuambia.
 
]Hii term ulioitumia ya genital mutilation ina negative connotation ikimaanisha "uharibifu", Labda swali dogo kwenu je ni kweli wanawake waliotahiria hawana hashiki?; mabibi zetu walikuwa hawana hashiki? Je walikufa sana kama tunavyotaka kuaminishwa na watu wa magharibi na wapokea posho wa tanzania? Try to think aloud please!!
nimezipenda hizi
[/B]
 
Mimi kama mwanamke sioni uchafu wowowte unaotokana na kuwepokwa clitoris. Umesema vyema, tuongelee kizazi hiki chetu cha sasa.

Kumtahiri mwanamke ilikuwa innovationya kupunguza ashki tu kitu ambacho ni uon3vu mkubwa. Nimewahi kukutana na shuhuda kuwa mwanamke alietahiriwa hata iweje hafiki kileleni. Effect ya kutahiri mwanamke ni kama kumtahiri mwanaume kwa kukata ama kufyeka kichwa cha uume ( wakati wa operesheni ya kumbadilisha mwanaume kuwa mwanamke and vice versa, ngozi ya uume ama clitoris inatumika interchangeably kutengeneza kiungo hichi muhimu). Haiwezi ikawa kitu chema hata kidogo!

for sure kwa mwanaume ukimkata kichwa umeuwa simba mwituni. hutasikia ngurumo tena. sasa king'asti japo nakubaliana na wewe pia kuwa kichwa huwa kinatumika kama mbadala wa clitoris kwa wale ''artificial women''. lakini niliskia size zao(artificial women) huwa hazitanuki kama zile za natural women sasa sijajua kama clitoris inasaidia kutanuka mbona kwa artificial women haiwasaidii?.
 
for sure kwa mwanaume ukimkata kichwa umeuwa simba mwituni. hutasikia ngurumo tena. sasa king'asti japo nakubaliana na wewe pia kuwa kichwa huwa kinatumika kama mbadala wa clitoris kwa wale ''artificial women''. lakini niliskia size zao(artificial women) huwa hazitanuki kama zile za natural women sasa sijajua kama clitoris inasaidia kutanuka mbona kwa artificial women haiwasaidii?.

Usije ukasahau hao unaoita artificial women hawahitaji kutanuka kule kwa ajili ya kuzaa. Sex change yoyote haihusishi gender roles. Ni ukatili usio na sababu. I would do it kama ingekuwa for medical benefits
 
Pasco unatoa majibu mazuri, lakini unachanganya na meaning attached to an event. Mfano, Inaaminika kuwa wanakuwa strong mwaka mzima. Hii ni imani attached to FC, haina ukweli wowote ule. Ni sawa na Bangi, ukiivuta ili ikubust kusoma, as longer as umevuta kwa kusudia hivyo, kweli utasoma hadi watu watasahau. Lakini sio kweli eti bangi ndo imekusababishia kusoma sana, bali ni ile imani uliyoiweka kwenye bangi ndiyo inafanya kazi. The same applies to FC, mnaamini kuwa wanastahimil mwaka mzima, lakini ukienda kuchunguza unakuta hakuna ukweli ispokuwa tu, malezi aliyolelewa ndiyo yanayofanya kazi.

sure, hata mimi nakubaliana na wewe wanawake wanaasili ya kuaminishwa na kukubali huku wakifurahia. ni kama hii asili ya kuoa wake wengi.utaona wanawake wanaiona kama jambo la kawaida wakati kwa wazungu huu ni unyanyasaji wa mwanamke.na hii hali ya kuaminishwa na kufurahia ni ya kisaikolojia tu. bali haina uhalisia. nadhani kama kazi ya clitoris ni kutoa utamu basi isiondolewe ili mambo yawe byebye. kuliko kulishana furaha za kisaikolojia wakati in reality hakuna. na kuhusu kuwa inapunguza umalaya, hii haina ukweli iwepo isiwepo umalaya ni pi(pai) kwa mhusika.aritdhike asiridhike haibadilishi hulka yake ya umalaya.
 
Kwa kuongezea tu ni kuwa clitoris ni very sensitive na kuikata maumivu yakeni makubwa sana. Lakini pia kwa kuikata clitoris unapunguza ule uwezo wa kutanuka wakati wa kujifungua kwa sababu kovu lililobaki halitanuki. Mwanamke anaishia kuvuja damu nyingi na huenda ikasababisha kifo.

Labda nikuulize ndugu Achahasira, kuna faida gani ya kumtahiri mwanamke? Kwa sababu faida za kumtahiri mwanaume zinajulikana.

Kama wazijua vizuri faida za kumtahiri mwanaume, ndizo faida kwa mwanamke.
 
Last edited by a moderator:
Hii term ulioitumia ya genital mutilation ina negative connotation ikimaanisha "uharibifu", kuna watu wamefanya tafiti kuhusu maada ya hii, na TATIZO kubwa waliokuwa wanajaribu kuliaddress ni kwanini pamoja na kampeni zote kuhusu ubaya wa "female circumcision" (wataalamu katika sociolijia na anthrolopoligia wanapenda kuita hivi) BADO JAMII NYINGI ZINAENDELEA na hii practice? baadhi zimekubaliana kwamba HII NI TAMADUNI ya jamii ambazo zinafanya na una umuhimu wake katika jamii hizo. Wanasema sio kweli kwamba unapomtahiri mwanamke unaharibu sehemu ya UKE, wao wanasema hii ni moja wapo ya kutengeneza UKE (hapa ina maana the whole system) kwasbb waliokuwa/wanaofanya hii kutahiri ni wataalamu na wanajua vizuri jinsi ya deal na delicate parts za uKE; kwahiyo kutahiri ni IDENTITY, BEAUTY, UKUBWA, na CITIZETRY (una kuwa mmoja wao katika jamii). SASA hawa walioanza kukataa kwamba ni kitu kibaya wanasema mojamoja wamekifananisha hiki kitu na UNYAMA DHIDI YA WANAWAKE; na imetokea Magharibi ambao hii haijawahi kuwa TAMADUNI YAO, kwahiyo wanaona moja kwa moja kama kumharibu mwanamke na BAHATI MBAYA kabisa hii imekutana na FEMINISM, mtazamo wa kuona mwanamke anaweza kama mwanamme na kwa muda mrefu amekuwa akikandamizwa na mfumo dume; na hili la female circumsion limekuwa cited kama miongoni mwa vitu vibaya mwanamke anafanyia ETI ILI KUUA HASHIKI asipende ngono na afanyekazi kwa ajili ya mwanaume ambae muda mrefu anakuwa kwenye pombe na matembezi. Hawa hawaendi mbali kuelezea mazuri ya hiki kitendo wao wanashikilia MILA POTOFU,MILA POTOFU. Labda swali dogo kwenu je ni kweli wanawake waliotahiria hawana hashiki?; mabibi zetu walikuwa hawana hashiki? Je walikufa sana kama tunavyotaka kuaminishwa na watu wa magharibi na wapokea posho wa tanzania? Try to think aloud please!!

Gakato u have made ma da with your narrative attributes of the rationale behind women cirmcission. Unfortunately jambo hili lilibakwa huku watu ambao wangeweza kulitetea wakichekelea ambao ni wasomi.

Kwa taarifa tu ni kwamba 70% ya wazungu wa kike wametahiriwa.
 
King'asti!,

  1. Kwa kuanzia neno FGM ni neno lenye negative connotations lililoletwa na wazungu, kama walivyoita zile dini zetu za asili, ni dini za kishenzi!. Hi to start with, mimi siiti FGM bali female circumcision, FC au tohara.
  2. FC imekuwa ikifanywa na makabila ya wafugaji ili ku controll sex drive ya wanawake wao kufuatia wanaume wao kuwa mbali na wenza wao kwa vipindi virefu, hadi mwaka mzima, hivyo kwa kuondoa clitoris, mwanamke anaweza kustahimili hadi mwaka mzima bila sex apatite!.
  3. Si kweli mwanamke aliyefanyiwa tohara, anakosa raha ya sex, bali kinachopunguzwa ni "clitoral stimulations tuu", lakini enjoyment yote inahamia kwenye "penile penetration!" hivyo ana enjoy sex kama mwanake mwingine yoyote, tofauti zao ni kwa wasio tahiriwa huweza kuenjoy kwa clitoral tuu wakati walifanyiwa lazima wafanywe!.
  4. Mwili wa binadamu, unafanya self adjustments, hivyo watoto wa kike, walifanyiwa FC kabla hawajavunja ungo, hivyo hawajaanza kupata ashk, kitendo cha clito kuondolewa, kunapelekea self adjustments kwa stimulations kuhamia ndani, hivyo kupata enjoyment ile ile kwa penile penetrations!.
  5. Wale wanawake wanaopata matatizo ya njia ya uzazi, hao ni bodily anatomy zao, hata wasiofanywa, kila siku njia za uzazi, zinapanuliwa kwa incisions, au endapo FC imefanywa na ma ngariba ambao sio mabingwa!. Mbona Wamasai, Wakurya,Wanyaturu, Wagogo, Wabarbaig, Wasandawe, Wahadzabe, Wambulu, Wameru, na makabila mengine ya wafugaji wa asili wanafanyiwa FC ipaka kesho na hayo hatuyasikii?. Ila piua kuna makabila ya wafugaji wa asili, kama Wahaya, Waganda na Wanyarwanda, wao wanakivuta tangu mtoto akiwa mdogo, hivyo kupelekea over stimulations hadi kulowesha kabisa kitanda jap wanadai ndio "squirting!".
  6. Mimi binafsi nilipokuwa kijana, nilipenda sana "copulations", hivyo kwa mwanamke aliyefanyiwa FC, there is nothing to enjoy on that!, kwao kazi ni moja tuu, kuingia ndani!, na unaenjoy tuu kama wanawake wengine wowote kwa penile penetration!.
  7. Mwanaume anayekutana na mwanamke aliyefanyiwa FC, huweza kushindwa ku enjoy kwa sababu ya "inhibitions" tuu kwa mshtuko wa kuikuta ile kitu haipo!, hivyo its just an atitude of mind kama ulivyo "utamu" hautokani na maujanja, kukatika au umbile la ile kitu, buli game huchezwa in mind, na enyoyment ni kwenye mind.
  8. Kuna tatizo la baadhi ya wanawake kukosa kabisa ladha "frigidity", hili ni tatizo la kibaolojia, na huwakumba wanawake wote waliofanyiwa na wasio fanyiwa na halihusiani na FC!.
  9. Fanya utafiti wa utulivu wa wanawake wanaofanyiwa FC ulinganishe na wasiofanyiwa!.
  10. Mwisho, wenyewe wanaofanya mila hizo, wako kimya, hizi tradional practices zikiwa regulated, zingefanyika kitaalamu zaidi na kuwasaidia kupunguza madhara za sio kuwafuatisha tuu wazungu!.
Wasaalam.

Pasco.

Thanx mkuu
 
mnapoongelea kanda ya ziwa naomba muondoe wasukuma, maana sie hatupunguzi kitu chochote iwe wanamme au wanawake.
Tunafurahia uumbwaji wetu.

Wahaya nao hawatahiri wanawake, tena wao wanavuta ziwe ndefu.

King'asti, Pasco ni mtu wa kanda ya ziwa, hivyo ameathiriwa na mila na desturi za kwao.

Sio kweli wanawake walifanyiwa tohara wanaweza kuhimili sexual desire!!!! sio kweli hata kidogo. Labda tufanye tafti, wanawake wa kanda ya ziwa, hawafumaniwi? Wananwake wa kanda ya ziwa, hawatoki nje ya ndo zao? bila shaka masuala hayo ni commoni kwa jamii nyingi.

kutulia kwa mwanamke, ni yeye mwenyewe maadili yake lakini pia na hofu ya Mungu basi, lakini haiwezi kuathiriwa kwa kuwa na critol au kutokuwa nayo.
Na ili tuyajibu haya maswali, tuulizane, Tanzania, ni wanawake wa mkoa gani ni vicheche sana, vicheche kidogo na sio vicheche kabisa. Kwa kuwa tunajua wanawake wa mkoa fulani wana FGM, na wengine hawana, tutayajibu tu maswala haya.
 
Nyie watu mmenichekesha yaani!
Pasco pole kwa kuamshiwa kazi. Siku nataka kidumu ntakucheki kana una vacancy lol.

Nafurahi kusikia kuwa wanawake waliotahiriwa wanafurahia sex. Ila kaka isijekuwa ni function ya size na stamina tu.

All in all sijaona umuhimu wa kupeana maumivu ya kukata antennae. Namshukuru Mungu sijatokea kwenye tamaduni hizo.

Kkaaa!!! Mambo ya antena tena wakati dunia sasa hivi inaongelea digitali! Lol
 
Pasco.... Wee mbayaa!
Sisi Wasukuma wa zamani, bangi ilikuwa ni sehemu ya stimulants za kupiga jembe siku nzima, toka saa 12 asubuhi mpaka saa 12 jioni, na hakuna watu waliokuwa wanawehuka!. Wanaume wa Kisukuma baada ya kupuliza, na ule ugali mlima!, usiku ni gwaride usiku kucha!, 7 days a week!, 4 weeks a moth!, (save for only those days)!, hivyo ni mke wa Kisukuma anakusisitizia mtafutie wenzake wasaidiane!, hivyo angalau watatu wanne, wapokezane, vinginevyo mwenyewe atajifia!, na kwa wenye uwezo, hadi wanawake 20!. That was then, is this valid for now?!. Hivyo hizi mila zife kwa invalidity na sio kwa kubezwa na wazungu!. Sisi Wasukuma wa leo, ni mke mmoja tuu, labda na vidumu vya hapa na pale kubadilishia mboga tuu!.
 
Kama wazijua vizuri faida za kumtahiri mwanaume, ndizo faida kwa mwanamke.

hamna faida ya kumtahiri mwanaume, unless ngozi yake ina matatizo ya kurudi nyuma na kumsababishia maumivu (phimosis). CIRCUMCISSION IS UNNECESSARY FOR ANY GENDER. Watu walikuwa wanatupa mtoto akizaliwa kilema/albino. Si mila zote za kufuata.
 
Gakato u have made ma da with your narrative attributes of the rationale behind women cirmcission. Unfortunately jambo hili lilibakwa huku watu ambao wangeweza kulitetea wakichekelea ambao ni wasomi.

Kwa taarifa tu ni kwamba 70% ya wazungu wa kike wametahiriwa.

REALY? Wazungu wa wapi?
 
Gakato u have made ma da with your narrative attributes of the rationale behind women cirmcission. Unfortunately jambo hili lilibakwa huku watu ambao wangeweza kulitetea wakichekelea ambao ni wasomi.

Kwa taarifa tu ni kwamba 70% ya wazungu wa kike wametahiriwa.

Kalikenye, this is a fascinating observation I didnt know, JF ni kisima cha elimu kila siku...Mimi nimetoa haya tu kutokana na kusoma kidogo tu articles; acha nisome kuhusu wazungu pia. Very many thanks for your contribution
 
mnapoongelea kanda ya ziwa naomba muondoe wasukuma, maana sie hatupunguzi kitu chochote iwe wanamme au wanawake.
Tunafurahia uumbwaji wetu.

Wahaya nao hawatahiri wanawake, tena wao wanavuta ziwe ndefu.
nimecheka kweli.nashukuru yangu ipo maana inanipa raha ya kipekee.na nisingekuwa nayo,ningeona kama nimeonewa.hatuna utamaduni wa kuikata
 
Pasco unatoa majibu mazuri, lakini unachanganya na meaning attached to an event. Mfano, Inaaminika kuwa wanakuwa strong mwaka mzima. Hii ni imani attached to FC, haina ukweli wowote ule. Ni sawa na Bangi, ukiivuta ili ikubust kusoma, as longer as umevuta kwa kusudia hivyo, kweli utasoma hadi watu watasahau. Lakini sio kweli eti bangi ndo imekusababishia kusoma sana, bali ni ile imani uliyoiweka kwenye bangi ndiyo inafanya kazi. The same applies to FC, mnaamini kuwa wanastahimil mwaka mzima, lakini ukienda kuchunguza unakuta hakuna ukweli ispokuwa tu, malezi aliyolelewa ndiyo yanayofanya kazi.
Mkuu Ntama, hilo la tabia, nakubaliana na wewe, ndio maana wanawake wa ukanda wa pwani wakiwemo Wazaramo, wanachezwa ngoma kufunzwa ma utaalamu!, akishailewa, na kumuonyesha mumewe ubingwa, anakosa raha kama ubingwa wake utajulikana na mtu mmoja tuu!, sasa wengine watamjuaje kuwa yeye ni bingwa!, ili kujenga heshima kwa mumewe, aheshimiwe na majirani wote kuwa kaoa bingwa!, huyo mwanamke atafanya juu chini, mpaka awaonjeshe majirani wote, ili akipita, asifiwe, "yule sii mchezo!", na huku mumewe akisifiwa "kapata kweli!"

Baadhi ya makabila kama Wahaya, wao wanavutwa tangu wadogo, hivyo saa zote kinatekenya na wanataka wakati wote, na popote tena bila aibu yoyote!. Wachagga wamefunza hiyo ni dhambi hivyo kuwajengea "inhibitions!" kiasi kwamba kwa kuenjoy ni nadra kwa sababu wanajua wanafanya dhambi, na wengi hata wakiolewa hizo inhibitions zinaendelea, japo mbege inasaidia kidogo kuzipunguza!. Mmasai kafanyiwa na kafunza hii ni kwa fulani tuu and only fulani na rika lake!. Sijawahi kukutana na pros wa Kimasai!, hata A Town, wanaojiuza wote ni makabila mengine, Wamasaini kwao No!.

Wakati FC imesaidia wanawake wa Kimasai kuwa na very big self control, its vice versa kwa wanawake wa Kimbulu, Nyaturu, Rangi na Wagogo, wote hawa wanafanyiwa, ila ukigusa tuu!, twende!. Hii inatokana FC kufanywa tofauti tofauti kati ya kabila na kabila, ila pia mafunzo, mila, desturi na tamaduni za hao wanaofanyiwa FC, kwa sababu hata baadhi ya Wamasai wa kisasa, waliosoma, hawawafanyii watoto wao FC lakini bado wametulia!.

Kwa wale wanawake ambao hamjafanyiwa, msiwadhanie waliofanyiwa wana miss anything, kwa sababu "you can never miss what you never had!", by the time wanajigundua kuwa walifanyiwa, zile sensetion za clit, zinakuwa zimeshahamia ndani, hivyo usikute wana enjoy kuliko hata nyie ambao hamjafanyiwa!.
Pasco.
 
Kalikenye, this is a fascinating observation I didnt know, JF ni kisima cha elimu kila siku...Mimi nimetoa haya tu kutokana na kusoma kidogo tu articles; acha nisome kuhusu wazungu pia. Very many thanks for your contribution

Kinachoenezwa na wazungu hakina lengo lingine isipokuwa ni cultural colonialism. Believe WC haina athari zaidi ya faida za kumuweka mbali mwanamke na athari za kansa ya kizazi pamoja na magonjwa mengine ya zinaa. Na hiyo ndo essence ya wazungu kufanya WC. Nenda Nordic countries ujionee ukweli.
 
Back
Top Bottom