ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 15,265 Reaction score 29,991 Dec 27, 2024 #21 Nlikua nikosoma story zao nadindisha kinoma! ila kuna namna nlipata elimu jinsi ya kukabiliana na foolish age
Nlikua nikosoma story zao nadindisha kinoma! ila kuna namna nlipata elimu jinsi ya kukabiliana na foolish age
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,474 Reaction score 125,866 Dec 27, 2024 #22 much know said: Nakupumbuka Kwa mara ya kwanza niliona picha ya condom kwenye jarida lao Click to expand... Hahahaaa. Enzi nimeanza vidato, nilikuwa nayakuta sana Library na kuyasoma. Yalikuwa na jumbe nzuri za kuelimisha pamoja na stori/hadithi za maisha.
much know said: Nakupumbuka Kwa mara ya kwanza niliona picha ya condom kwenye jarida lao Click to expand... Hahahaaa. Enzi nimeanza vidato, nilikuwa nayakuta sana Library na kuyasoma. Yalikuwa na jumbe nzuri za kuelimisha pamoja na stori/hadithi za maisha.