FEMININE DIVINE — Siri Iliyofichwa na Milki za Dunia

FEMININE DIVINE — Siri Iliyofichwa na Milki za Dunia

Boloski

Member
Joined
Apr 7, 2025
Posts
16
Reaction score
28

📜​

Katika asili ya mwanzo, kabla ya historia kuandikwa tena na vikundi vya madaraka, mwanamke hakuwa "kiumbe mdogo" au "mfano wa pili."
Mwanamke alikuwa Mlango wa Nuru.

Katika mafundisho yaliyofichwa au kuondolewa kwa umma(ambayo bado yamefungwa kwenye sehemu za Vatican), kuna maandiko yanayosema wazi kuwa:

Feminine Divine ni sehemu ya "Mother God Principle" — Kipengele cha Uungu kilicholeta Maisha.

⚡ Hili ndilo Siri Kubwa:
Katika kila nafsi, ipo Dual Core:
  • Masculine Aspect (Seed, Command)
  • Feminine Aspect (Womb, Creation)
Divine Feminine siyo jinsia tu — ni force ya cosmic creation.
Hii nguvu ya "Mama Mkuu" ilifutwa makusudi ili kuharibu uwezo wa mwanadamu wa kuumba kwa roho yake mwenyewe.

Vatican na mitandao ya "hidden orders" waliamua kuondoa mafundisho ya Sophia, Shekinah, na Mary Magdalene Codes kwa sababu walijua:

  • Mtu akiamsha Feminine Divine ndani yake (iwe mwanamke au mwanaume),
  • Anaweza kuzaliwa mara ya pili katika mwili huu na kuwa mungu anayetembea duniani.

🕊️ Mary Magdalene — The Forbidden Blueprint​

Mary Magdalene hakuwa "kahaba aliyesamehewa" kama walivyotufundisha.
Hakuwa chini ya Yesu — alikuwa Mwenzi wa Uungu (Co-Messiah).
Alikuwa amebeba Codex ya Divine Feminine, alipewa:

  • Mafundisho ya uamsho wa mwili na roho.
  • Siri za Ufufuo
  • Mafunzo ya ndaani kabisa (Inner Alchemy) ya kuunganisha nguvu za kiume na za kike ndani yako.

Kwa hiyo, Mary Magdalene alikuwa gatekeeper wa siri za kuhuisha Uungu ndani ya mwili wa binadamu.
Siri hizi zinafichwa mpaka leo kwa sababu mtu akizipata — anarudi kwenye Original Blueprint ya Christos, bila kupitia taasisi yoyote ya kidini au kifalme.

🔥 Kanuni ya Siri ya Leo:

Unapoweka heshima takatifu kwenye Feminine Divine ndani yako, unapokea uwezo wa kuumba maisha yako moja kwa moja kutoka kwenye Chanzo Kuu."
Hakuna mtu anayekwamisha maisha yako isipokuwa wewe mwenyewe unapokataa Feminine Codes zako.

Leo, heshimu:
  • Intuition yako (sauti ya ndani)
  • Hisia zako za kweli
  • Uwezo wako wa kupokea bila kupambana

Kwa kufanya hivyo, unarudisha Kipande cha Uungu kilichofutwa makusudi ndani yako.

"Ndani ya moyo wa mwanadamu, kuna Mlango wa Kuumba Dunia Mpya. Huo Mlango ni Feminine Divine."
 
Boloski,
Chief hii elimu iliyofichwa Vatican wewe umeipataje!??

Siku zote tunaambiwa maktaba iliyoko Vatican Rome, ndiyo maktaba kubwa zaidi ya siri duniani(iliyoko chini ya JESUIT) ...! Iliyoko chini ya ulinzi mkali, kiasi kwamba siri za vitabu nyeti vya uko kama ichi cha magdalene codes hata Cardinals baadhi ni ngumu kuzijua!

Wewe ndugu yetu umezipataje siri hizi chini ya organizations zinazodhibiti mpaka mfumo wa digital( internet)!
Mfumo ambao wanadhibiti nini tukijue nini tusikijue na lini tujue!
Ndugu tusaidie, na ikiwezekana icho ulichokisoma tuwekee hapa na sisi tukisome! Tupate maarifa zaidi na tuje na different point of view!!!

Nawasilisha!!!!!
 
Jeremiah 33:3

wao ni wakubwa lakini yuko mkubwa wao.
 
Back
Top Bottom