Boloski,
Chief hii elimu iliyofichwa Vatican wewe umeipataje!??
Siku zote tunaambiwa maktaba iliyoko Vatican Rome, ndiyo maktaba kubwa zaidi ya siri duniani(iliyoko chini ya JESUIT) ...! Iliyoko chini ya ulinzi mkali, kiasi kwamba siri za vitabu nyeti vya uko kama ichi cha magdalene codes hata Cardinals baadhi ni ngumu kuzijua!
Wewe ndugu yetu umezipataje siri hizi chini ya organizations zinazodhibiti mpaka mfumo wa digital( internet)!
Mfumo ambao wanadhibiti nini tukijue nini tusikijue na lini tujue!
Ndugu tusaidie, na ikiwezekana icho ulichokisoma tuwekee hapa na sisi tukisome! Tupate maarifa zaidi na tuje na different point of view!!!
Nawasilisha!!!!!