INAUZWA Fencing wire zinauzwa

Imphuvyi

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2018
Posts
224
Reaction score
154
Fencing wire zinauza, Kama utahitaji na hizo chuma zake Bei itapoa kidogo.

Fensi imetumika miezi 4, ilinunuliwa mwezi wa Kwanza Kisha ikazungushiwa kiwanja ambacho hakikuwa ramsi kwa mhusika.

Hivyo ameamriwa kuitoa, na Hana kazi nayo kwa sasa. Fensi ziko rola 11. Ni zile nzito (Nene mm 2.5). Na rola moja inauzwa 92 elfu KAMAKA. Yeye anauza 80 elfu kwa kila moja.

Bomba za chuma nchi 2.5, Ni vipande vyenye urefu wa mita 2.1/4 kila moja. Zipo 44, na kila moja Ni 20 efu. Ni zile black pipe nzito, na zimepakwa rangi ya kuzia kutu na nyeusi.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zina miezi 4 na zimekunjuliwa anauza 80 sawa mkuu
Mimi nahitaji ila hiyo bei hapana akiuza elf 35,000 nijulishe nije kubeba zote

Sent using Jamii Forums mobile app
Kukunjuliwa sidhani Kama Ni tatizo mkuu,
Ishu Ni kwamba bado ziko ktk ubora. Pia hakuna hata moja iliyo chanika Wala kupanuliwa. Na sidhani Kama kweli upo serious kamana kutoka kwa Bei ya kiwanfani 92 elf, madukani moja Ni laki moja na 20. Wewe unasema 35 elfu. Dah[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahitaji kama ukikubaliana na hiyo bei nielekze nije

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeongeza dau 40 nije kuchukua mzigo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutokuwa na mwakilishi sio tatizo. Kama tukiafikiana, naweza kukusafirishia. Au nikakuletea mwenyewe mpaka kahama kwa ghalama zako...
N.b, mawakala wa kusafirisha mizigo dar wapo wengi Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kawaida urefu wake huwa ni 15m kwanini zako ziko 11m?
 
Hapo nitakuwa Sina jibu sahihi, unaweza kunisaidia mahesa, zipo 11, na kimezungushiwa kiwanja Cha mita 32 kwa 26. Na zimeenea. piga hesabu utajua Kila moja Ina ukubwa gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kiwanja cha mita 32 *26= mita 832.Urefu huo unahitaji fencing wire almost 55.Wewe unasema ziko 11 hii maana yake ni kwamba kila fencing wire mmoja ina urefu wa zaidi ya mita 75 jambo ambalo haliwezekani! Angalia vizuri maelezo yako.
 
Kwa wastani fencing wire mmoja ina urefu wa mita 15.
 
Kula laki 4 mzigo wote huo
 
Hapa nahisi ni Kisemvule kwenye ule mradi wa Obey, tumepakana, mimi nina viwanja nane. Nilinunua hapo. Nikaambiwa hapo kwa mzungu. Juzi nilipigiwa simu kama nikitaka kuongeza eneo nilipie hilo, Mzungu kasepa, alijenga kabla ya kumaliza deni la viwanja. Alikutana na wachaga wa town

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…