INAUZWA Fencing wire zinauzwa

Hivi ni Mimi tu naona post lakini sioni mawasiliano
 
Mkuu kiwanja cha mita 32 *26= mita 832.Urefu huo unahitaji fencing wire almost 55.Wewe unasema ziko 11 hii maana yake ni kwamba kila fencing wire mmoja ina urefu wa zaidi ya mita 75 jambo ambalo haliwezekani! Angalia vizuri maelezo yako.
Hayo siyo mahesabu sahihi ya kuzungusha uzio. Wewe umetumia kanuni ya kutafuta eneo (ENEO=Urefu×Upana), ulipaswa kutumia kanuni ya kutafuta Mzingo au Mzunguko (MZINGO= 2(Urefu+Upana).

Ambapo kwa kiwanja cha ukubwa wa 32m kwa 26m, mzunguko wake utakuwa 2(32+26)=116metres.

Hivyo kama ametumia roller 11 tu kimahesabu ni kuwa 116metres/11roller=10.5metre. Hivyo yuko sahihi kusema roller zake urefu wake hauzidi metre 11.

Napita tu.
Nimekumbuka mahesabu ya wajenzi.
 
Upo sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania tuna matatizo Sana, usiongee isichokijua kiundani. Anyway unakaribishwa kama unazihitaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakushukuru sana kwa kunikumbusha jambo sahihi,ni kweli nilikosea ile formula haikuwa mahali pake.
 

Bomba za chuma 2.5 wanauza elfu 50 futi 20 wew vitu used bado bei iko juu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…