Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo siyo mahesabu sahihi ya kuzungusha uzio. Wewe umetumia kanuni ya kutafuta eneo (ENEO=Urefu×Upana), ulipaswa kutumia kanuni ya kutafuta Mzingo au Mzunguko (MZINGO= 2(Urefu+Upana).Mkuu kiwanja cha mita 32 *26= mita 832.Urefu huo unahitaji fencing wire almost 55.Wewe unasema ziko 11 hii maana yake ni kwamba kila fencing wire mmoja ina urefu wa zaidi ya mita 75 jambo ambalo haliwezekani! Angalia vizuri maelezo yako.
Upo sahihiHayo siyo mahesabu sahihi ya kuzungusha uzio. Wewe umetumia kanuni ya kutafuta eneo (ENEO=Urefu×Upana), ulipaswa kutumia kanuni ya kutafuta Mzingo au Mzunguko (MZINGO= 2(Urefu+Upana).
Ambapo kwa kiwanja cha ukubwa wa 32m kwa 26m, mzunguko wake utakuwa 2(32+26)=116metres.
Hivyo kama ametumia roller 11 tu kimahesabu ni kuwa 116metres/11roller=10.5metre. Hivyo yuko sahihi kusema roller zake urefu wake hauzidi metre 11.
Napita tu.
Nimekumbuka mahesabu ya wajenzi.
Watanzania tuna matatizo Sana, usiongee isichokijua kiundani. Anyway unakaribishwa kama unazihitajiHapa nahisi ni Kisemvule kwenye ule mradi wa Obey, tumepakana, mimi nina viwanja nane. Nilinunua hapo. Nikaambiwa hapo kwa mzungu. Juzi nilipigiwa simu kama nikitaka kuongeza eneo nilipie hilo, Mzungu kasepa, alijenga kabla ya kumaliza deni la viwanja. Alikutana na wachaga wa town
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakushukuru sana kwa kunikumbusha jambo sahihi,ni kweli nilikosea ile formula haikuwa mahali pake.Hayo siyo mahesabu sahihi ya kuzungusha uzio. Wewe umetumia kanuni ya kutafuta eneo (ENEO=Urefu×Upana), ulipaswa kutumia kanuni ya kutafuta Mzingo au Mzunguko (MZINGO= 2(Urefu+Upana).
Ambapo kwa kiwanja cha ukubwa wa 32m kwa 26m, mzunguko wake utakuwa 2(32+26)=116metres.
Hivyo kama ametumia roller 11 tu kimahesabu ni kuwa 116metres/11roller=10.5metre. Hivyo yuko sahihi kusema roller zake urefu wake hauzidi metre 11.
Napita tu.
Nimekumbuka mahesabu ya wajenzi.
Wewe total price ili tujue tunaanza anza vipi
Hiyo bei ya 80 elfu kwa Kila moja, sio fixed!Wewe total price ili tujue tunaanza anza vipi
Fencing wire zinauza, Kama utahitaji na hizo chuma zake Bei itapoa kidogo.
Fensi imetumika miezi 4, ilinunuliwa mwezi wa Kwanza Kisha ikazungushiwa kiwanja ambacho hakikuwa ramsi kwa mhusika.
Hivyo ameamriwa kuitoa, na Hana kazi nayo kwa sasa. Fensi ziko rola 11. Ni zile nzito (Nene mm 2.5). Na rola moja inauzwa 92 elfu KAMAKA. Yeye anauza 80 elfu kwa kila moja.
Bomba za chuma nchi 2.5, Ni vipande vyenye urefu wa mita 2.1/4 kila moja. Zipo 44, na kila moja Ni 20 efu. Ni zile black pipe nzito, na zimepakwa rangi ya kuzia kutu na nyeusi.
View attachment 1449790View attachment 1449791View attachment 1449792
Sent using Jamii Forums mobile app