Kichwa Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,726
- 314
Heshima yenu wanajamii
Jamani kama mnavyojua huu ni msimu wa joto
mimi nimeoa na nina mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa miaka miwili
kwa muda mrefu nimekuwa nikivumilia kutumia feni hasa wakati wa kulala kwa taarifa zisizo rasmi kuwa feni sio nzuri kwa watoto lakini sasa joto nimezidi kuwa kali hata kufikia kuanza kutumia feni hasa wakati wa kulala.
Asante

- Je, kuna madhara gani kama nitatumia feni wakati wa kulala huku nikilala na mtoto wa miaka miwili?
- Je, ni njia gani naweza kutumia ili feni isimdhuru mtoto kama feni zinadhuru
Asante