Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna shida sasa si ndio kazi yake.. maana yake machine ina overheat..check your laptop. Fan imatimiza wajibu wake wewe unakasiri
Hakuna hewa ulipoweka au kunapata joto. Kama vile kuiweka kwenye godoro. Shida hapo feni itakufa na procecer itafuatia.Nina laptop dell 5289
Nikishaiwasha tu feni inaanza kuzunguruka mda wote
Ilianza inwzunguruka baada ya kama dakika 10 au 15 inaacha
Sasa hivi ndio imezidi mda wote inalia tu kwa sauti
Naombeni msaada wenu nifanye nini ikae sawa
hakika ni kweriFan inabidi izunguke muda wote (kwa PC karibia zote), spidi inabadilika kutokana na joto la CPU so kama inaenda kwa spidi sana maana yake CPU ina joto, joto linaweza kutokana na kazi inayofanya au ubovu wa mifumo ya kupooza.
Angalia Task Manager kuona kama kuna app umeinstall inatumia sana CPU, pia unaweza kuona temperature za CPU kwa kutumia Open Hardware Monitor - Core temp, fan speed and voltages in a free software gadget
Kwa ubovu wa mifumo ya kupooza angalia kama kuna vumbi/uchafu kwenye feni, puliza na mrija kutoa vumbi zaidi ya hapo ni heatsink au thermal paste haijakaa vizuri kwenye CPU hii inahitaji ufundi zaidi. Feni zenyewe nazo zinakufaga.
Nenda kwa fundi JF .....??Nina laptop dell 5289
Nikishaiwasha tu feni inaanza kuzunguruka mda wote
Ilianza inwzunguruka baada ya kama dakika 10 au 15 inaacha
Sasa hivi ndio imezidi mda wote inalia tu kwa sauti
Naombeni msaada wenu nifanye nini ikae sawa
Ndio imeahakufa itupe nunua nyingine..Nina laptop dell 5289
Nikishaiwasha tu feni inaanza kuzunguruka mda wote
Ilianza inwzunguruka baada ya kama dakika 10 au 15 inaacha
Sasa hivi ndio imezidi mda wote inalia tu kwa sauti
Naombeni msaada wenu nifanye nini ikae sawa
Ipeleke haraka kwa fundi utaua processor nakuia kabisa isifanye kazi,km unaweza fungua ifungue ufanye hata usafi kwakua inaweza kua inagusa sehemu au kuna vumbi km mzunguko siwakawaida.Nina laptop dell 5289