Fensi ipi nzuri ya kupanda yenye ulinzi mathubuti na inayorefuka hadi mita mbili?

pasua chupa weka juu ya fensi
mtindo wa kiduwanzi sana huu

Weka security camera,infact huwezi zuia wizi kama wizi maana hakuna ukuta unaoweza zuia mtu kuruka

Labda uweke mita 100,which is useless

Weka camera za kutosha anaekuja kuiba aibe ile mahakama lazima afungwe

Pia weka electrical fence on top kama vipi

Ila yote hayo ni kujaza mauchafu tu, weka empty fence then cameras
 
[emoji23][emoji23]ukuta ukiwa mrefu ukiweka na chupa wezi hawapandi hiyo japo ya kiduanzi.. ulinzi wa kienyeji
 
Na huu umeme wa kukata kata kila saa huoni pasipokuwa na umeme ni majanga?
 
Na huu umeme wa kukata kata kila saa huoni pasipokuwa na umeme ni majanga?
Kumbe bado umeme ukikatika kwako ndio mpaka Tanesco arudishe?

Weka standbly generator lenye Automatic Changeover Switch (ATS) ....weka hela kati ununue mfumo

Acha kunywa mabia halafu unaanza kulia lia Tanesco akikata umeme

Kingine ni maji,Dawasa akikata unaanza kukenua domo na kumwaga machozi,weka storage systems

Acheni umama manina,mnatafuta hela tu
 
Umetumia njia ngumu na ya kikatili sana kunielewesha, ila shukrani nimekusoma[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bwana asipoulinda mji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…