Unaishi Mwenge kaja mwizi kutoka Tandika na kavaa Mask, hapo kamera nazo ni useless tu.mtindo wa kiduwanzi sana huu
Weka security camera,infact huwezi zuia wizi kama wizi maana hakuna ukuta unaoweza zuia mtu kuruka
Labda uweke mita 100,which is useless
Weka camera za kutosha anaekuja kuiba aibe ile mahakama lazima afungwe
Pia weka electrical fence on top kama vipi
Ila yote hayo ni kujaza mauchafu tu, weka empty fence then cameras
Weka hata sensor alarm, akivuka mahali tu (signal blocking) kitu kinaitika.
Tukirudi kwenye swali la mleta hoja ameuliza fence ya kuoteshwa (mmea), sio hizi za Mzungu au Mchina.