The Boss Beckham asema hana tatizo na maneno ya Ferguson kuhusu wachezaji waliotajwa na kocha wake huyo wa zamani ambao Ferguson alisema ni "WORLD CLASS" wakati akiwafundisha Man United.
Beckham kasema ni kweli yeye hakuwa "WORLD CLASS" na anashukuru kwa kucheza na wachezaji hao na wengine mbalimbali akiwemo Ronaldo wa Brazil na wajina wake kutoka Ureno.
Beckham anamheshimu sana Fergie naona... Lakini kiukweli hata mimi naona hakuwa "WORLD CLASS"... He was too normal but English media ilimbeba ingawa kwa staili yake pia ya makrosi na faulo alikuwa the best... 