Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,076
Mtani acha ukorofi basi .....tunammithi Sanaaa..kwanini ushangae?
Kwa sababu ya zile ugomvi zao .... Halafu babu anataka kutoa kitabu kipya nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtani acha ukorofi basi .....tunammithi Sanaaa..kwanini ushangae?
The Boss Beckham asema hana tatizo na maneno ya Ferguson kuhusu wachezaji waliotajwa na kocha wake huyo wa zamani ambao Ferguson alisema ni "WORLD CLASS" wakati akiwafundisha Man United.
Beckham kasema ni kweli yeye hakuwa "WORLD CLASS" na anashukuru kwa kucheza na wachezaji hao na wengine mbalimbali akiwemo Ronaldo wa Brazil na wajina wake kutoka Ureno.
Beckham anamheshimu sana Fergie naona... Lakini kiukweli hata mimi naona hakuwa "WORLD CLASS"... He was too normal but English media ilimbeba ingawa kwa staili yake pia ya makrosi na faulo alikuwa the best... 