House4Rent Ferm nzuri na kubwa ya biashara inapangishwa

House4Rent Ferm nzuri na kubwa ya biashara inapangishwa

NAREI

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2017
Posts
1,730
Reaction score
1,660
Frem inapatikana UBUNGO kituo cha mabibo hostel inatizama barabara ya Mandela Sekunde 10 (kutoka barabarani)
ina eneo la kutosha upande wa mbele na pembeni kulingana na eneo husika kuwa na mzunguko wa wanafunzi wengi wa chuo cha UDSM muhitaji anaweza kufungua biashara kulingana na uhitaji, mfano
Restaurant (cafeteria)
Duka la vyakula (nafaka)
Duka la vinywaji vya jumla
Na nyinginezo
Kodi kwa mwezi ni 300k
Contact: 0756 832833

IMG_20190203_172835.jpeg
IMG_20190203_172829.jpeg
IMG_20190203_172733.jpeg
IMG_20190203_172842.jpeg
IMG_20190203_172826.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Frem inapatikana UBUNGO kituo cha mabibo hostel.
Inatizama barabara ya Mandela
Sekunde 10 (kutoka barabarani)
Ina eneo la kutosha upande wa mbele na pembeni.
Kulingana na eneo husika kuwa na mzunguko wa wanafunzi wengi wa chuo cha UDSM,
Muhitaji anaweza kufungua biashara kulingana na uhitaji, mfano
RESTAURANT (CAFETERIA)
DUKA LA VYAKULA (NAFAKA)
DUKA LA VINYWAJI VYA JUMLA
na nyinginezo
Kodi kwa mwezi ni 400k
Contact: 0756 832833

View attachment 1012955View attachment 1012956View attachment 1012957View attachment 1012959View attachment 1012960

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa bei iyo aliekuwepo alikua na bzness gani?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
kwa bei ya 400k hiyo fremu itakaa sana kwa zama hizi.
 
Kama mtu siyo mteja usitie neno maana haitasaidia.
 
Na usawa huu!! ,ngoja nizitafute,nkizipata ntakuwa mpangaji wako mkuu.
 
fremu hata laki 2 kumpata mtu sio kazi ndogo... hizo ni bei za kariakoo unazo zileta
Frem ya laki mbili ipo lakini location na ukubwa vyote vinaridhisha, angalia location pia hii frem na uhakika kasema 400k lakini serious customer wa laki 3 anaeza pewa kwa miezi 6 au 250k kwa mwaka.
 
nan anataka biashara ya fremu siku iz! mi ata lak sitoi,kulipia fremu nikumnufaisha mwenye frem

mwenye fremu aweke yeye biashara itamlipa mana halip kodi

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Frem ya laki mbili ipo lakini location na ukubwa vyote vinaridhisha, angalia location pia hii frem na uhakika kasema 400k lakini serious customer wa laki 3 anaeza pewa kwa miezi 6 au 250k kwa mwaka.

mimi napoishi kituo changu cha bus ni mabibo hostel.. najua vizuri hilo eneo.. ndipo nilipokulia.. bei za fremu mabibo hostel hunidanganyi.. hata vyumba vya kupanga na nyumba..

mwambie mtoa mada awaambie kina tozi, kitanga, eliudi, mpemba, mama mosha... wamwambie bei zilivyo... nahisi huyu dalali ni mgeni mabibo hostel
 
Frem inapatikana UBUNGO kituo cha mabibo hostel.
Inatizama barabara ya Mandela
Sekunde 10 (kutoka barabarani)
Ina eneo la kutosha upande wa mbele na pembeni.
Kulingana na eneo husika kuwa na mzunguko wa wanafunzi wengi wa chuo cha UDSM,
Muhitaji anaweza kufungua biashara kulingana na uhitaji, mfano
RESTAURANT (CAFETERIA)
DUKA LA VYAKULA (NAFAKA)
DUKA LA VINYWAJI VYA JUMLA
na nyinginezo
Kodi kwa mwezi ni 400k
Contact: 0756 832833

View attachment 1012955View attachment 1012956View attachment 1012957View attachment 1012959View attachment 1012960

Sent using Jamii Forums mobile app
Are u serious? Laki 4 fremu? Be series ous just for a second plz. Just for a second
 
Back
Top Bottom