NaUko sahihi kabisa mkuu, nina sehemu ya kuuzia chips MAENEO ya Tabata SEGEREA, nimepewa kasehemu kadogo pembeni ya hiyo fremu, kwa siku nalipa 5,000
Ukifanya calculation hapo kwa mwezi nalipa 150,000/ (hapo nimepewa kasehemu tu kakuweka meza)
Hiyo fremu nzima na inaface lami na ina space kubwa hata ya kupanga magunia ya mchele nje, mtu anakuja kukaclash utadhan hata biashara amewahi kufanya.
Kwa anayejua maana halisi ya biashara hawezi kushangaa sana zaidi atahitaji kuona hiyo location ina which added advantage to hit that price/rent.
Wengi humu wanacomment wakiwa maofisini kwenye viyoyozi ndio changamoto ya Jf.
Sent using
Jamii Forums mobile app