Frem inapatikana UBUNGO kituo cha mabibo hostel.
Inatizama barabara ya Mandela
Sekunde 10 (kutoka barabarani)
Ina eneo la kutosha upande wa mbele na pembeni.
Kulingana na eneo husika kuwa na mzunguko wa wanafunzi wengi wa chuo cha UDSM,
Muhitaji anaweza kufungua biashara kulingana na uhitaji, mfano
RESTAURANT (CAFETERIA)
DUKA LA VYAKULA (NAFAKA)
DUKA LA VINYWAJI VYA JUMLA
na nyinginezo
Kodi kwa mwezi ni 400k
Contact: 0756 832833
View attachment 1012955View attachment 1012956View attachment 1012957View attachment 1012959View attachment 1012960
Sent using Jamii Forums mobile app
Frem ya laki mbili ipo lakini location na ukubwa vyote vinaridhisha, angalia location pia hii frem na uhakika kasema 400k lakini serious customer wa laki 3 anaeza pewa kwa miezi 6 au 250k kwa mwaka.fremu hata laki 2 kumpata mtu sio kazi ndogo... hizo ni bei za kariakoo unazo zileta
Frem ya laki mbili ipo lakini location na ukubwa vyote vinaridhisha, angalia location pia hii frem na uhakika kasema 400k lakini serious customer wa laki 3 anaeza pewa kwa miezi 6 au 250k kwa mwaka.
Are u serious? Laki 4 fremu? Be series ous just for a second plz. Just for a secondFrem inapatikana UBUNGO kituo cha mabibo hostel.