House4Rent Ferm nzuri na kubwa ya biashara inapangishwa

Itakuwa ni chini ya hapo 400k tena minus 150k
 
Itakuwa ni chini ya hapo 400k tena minus 150k
Hapo mitaa ya mabibo hostel kuna fremu zinapangishwa sh elfu themanini na mwenye fremu anachukua kodi ya miezi mitatu na hataki dalali..wewe unataka kumpiga mtu kodi ya laki NNE halafu alipe miezi sita which mean atoe 2.6 million plus laki NNE yako ya udalali inakuwa m.3 mjomba hebu kuwa serious ..watu wana fremu kariakoo mtaa wa nyamwezi wanachukua laki mbili na nusu kwa mwezi kodi ya miezi mitatu na zinadoda..be serious mkuu
 
Mweka tangazo anavyoshadadia iyo laki nne si ufanye mwenyewe iyo biashara ya nfaka ama cafeteria,Ivi unajua wanafunzi wa sasaivi hapo mabibo hosteli sasaivi wanashindia mihogo mikavu...

Tell him. Wengine wanashindia mikate na maji ya kudownload. Wanapiga pasi ndefu
 
Umenifakamia mzee kama mi ndio mtoa mada au dalali wa hiyo fremu sasa seriously, mi nashukuru kwa kunipa data kuwa Kuna frem za kuanzia elfu 80 na kodi ni miezi 3 iyo ni fursa hapo mabibo hosteli.
 
400,000 ni bei za Kinondoni Studio, hapo ilipo Kenice pamekaa vibaya sana...
 
nan anataka biashara ya fremu siku iz! mi ata lak sitoi,kulipia fremu nikumnufaisha mwenye frem

mwenye fremu aweke yeye biashara itamlipa mana halip kodi


Sent from my iPhone using JamiiForums
Sasa kupangisha watu ndo biashara yake mwenye nyumba mkuu..
 
Wengine basi tu wapita njia wanaona frem wakiwa wanatembea, kiufupi issue siyo easy kiivo...
 

dmkali kasema eti kariakoo fremu zinaanzia $3000 kwa mwezi.
Eti walienda na rafiki yake wakatafuta fremu kariakoo nzima wakakosa.
 

Bado unaishi mitaa hiyo?
Kuna deal nataka nikushirikishe, it's all about money bro!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…