OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ukiwa unatazama games za Simba jaribu kuweka concentration kwa Mavambo, utainjoi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ule Uzi nakumbuka kipindi hiko Simba anaongoza ligi ngoja niupitie tena unasema "msimamo wa ligi kuu Chama lako lipo nafasi ya ngapi ?Ndio kipindi chenu cha tambo hiki, mechi za awali hakuna mwana Simba asiyesifia timu hata msimu uliopita ukaja na msimamo wa ligi baada ya vimechi vitano tu na kujisifu.
Aaaah Mwasibu CPA uchwara SUNZU BOBAN OKW.View attachment 3074917
Ukiwa unatazama games za Simba jaribu kuweka concentration kwa Mavambo, utainjoi sana.
Waaandishiiii eeeeeeehAna hatari huyooo...anajua huyoooo
Yani ni balaaaa
Ubaya ubwela...
Kutomsifia hakuondoi ukweli kuwa ni mchezaji mzuri...useme usiseme itabaki kuwa hivyo...
Tunawasubiri mwishoni mwa msimu ili tuje tulifukue hili kaburi lenu. Ooh! Sijui ni kiongozi gani alimsajili huyu Debora Fernandez!!Ana hatari huyooo...anajua huyoooo
Yani ni balaaaa
Ubaya ubwela...
Kutomsifia hakuondoi ukweli kuwa ni mchezaji mzuri...useme usiseme itabaki kuwa hivyo...
Kwahyo unataka kusema huyu mleta mada kila mada yake inakufa...nyie mnakuja kuifufua...😃😃😃😃 muda utaongea..Tunawasubiri mwishoni mwa msimu ili tuje tulifukue hili kaburi lenu. Ooh! Sijui ni kiongozi gani alimsajili huyu Debora Fernandez!!
😃😃🙃😃😃Waaandishiiii eeeeeeeh
Waandishiiiii eeeeeh
Anajuaa huyooo
Ana hatariiii uyooooo
Yan waaaaa