sikiolakufa
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 411
- 54
Kafuwa ndo maana kawa mpole,Mx
Ebu punguza roho mbaya na choyo loh!Kafuwa ndo maana kawa mpole,Mx
Mie ni bashani watu wazuri kwa jinsi nyingine....
we ni jinsia ipi?lol
hvi mwenzie daz baba mzee wa nipe tano yuko wapi? Au unga ndio umempoteza kabisa?
nami nampenda kama nn, nw katoa mnanda sijui mchiriku ulee, ila kuna lijuti limesema sijui anatumia ndumba yan watu bongo kwa kuharibiana mmh.Katika wasanii ninao wapenda huyu ni zaidi. Simjui yeye mwenyewe ila music yake napenda sana... yuko very professional! big Up!
hvi mwenzie daz baba mzee wa nipe tano yuko wapi? Au unga ndio umempoteza kabisa?
nami nampenda kama nn, nw katoa mnanda sijui mchiriku ulee, ila kuna lijuti limesema sijui anatumia ndumba yan watu bongo kwa kuharibiana mmh.
mtu akifanikiwa kidogo anatafuta namna ya kukuzima mmh.
Nimekutana na ferooz leo nimefurahishwa sana na mwenendo wake veeery calm guy down to earth hataki makuu kabisa....nadhani muda ni muafaka sasa kwa wenzake kuiga mfano wa kijana huyu
Wasanii waliopanuka mawazo wamesoma alama za nyakati na wamegundua African music unalipa sana, hata jingle za makampuni utapata, sio kubana pua. Fuatilia washindi wa Bongo Star search na Kilimanjara Music Award, utagundua hilo, huu ni utafiti mdogo tu wa mwelekeo wa muziki wa Bongo. Hongera Ferooz kwa kwenda na waqtimmmh mie kaniacha hoi kutoka kuimba nyimbo zile kali kali kama ninao ninao ninao ninao dr usinipe moyo mpaka kuhamia kwenye sijui mduara ule ama mdumange ...