Ferooz....down to earth msanii mfano kwa wenzake

sikiolakufa

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2010
Posts
411
Reaction score
54
Nimekutana na ferooz leo nimefurahishwa sana na mwenendo wake veeery calm guy down to earth hataki makuu kabisa....nadhani muda ni muafaka sasa kwa wenzake kuiga mfano wa kijana huyu
 
ni watu wazuri kwa jinsi nyingine....
we ni jinsia ipi?lol
 
Katika wasanii ninao wapenda huyu ni zaidi. Simjui yeye mwenyewe ila music yake napenda sana... yuko very professional! big Up!
 
hvi mwenzie daz baba mzee wa nipe tano yuko wapi? Au unga ndio umempoteza kabisa?
 
nami nampenda kama nn, nw katoa mnanda sijui mchiriku ulee, ila kuna lijuti limesema sijui anatumia ndumba yan watu bongo kwa kuharibiana mmh.
mtu akifanikiwa kidogo anatafuta namna ya kukuzima mmh.
 
Weeeeeeeeeee! acha hiyo maneno bwana, jamaa namzimia sana huwa anatoa vitu vikali sana, na hata Ferouuz amedesa kwake style ya uimbaji
 
nami nampenda kama nn, nw katoa mnanda sijui mchiriku ulee, ila kuna lijuti limesema sijui anatumia ndumba yan watu bongo kwa kuharibiana mmh.
mtu akifanikiwa kidogo anatafuta namna ya kukuzima mmh.

umenichekesha sana ndugu. Hii kitu ndumba ni kama imani vile, maana kuna jamaa mmoja anadai eti Drogba kampigilia misumari Torres. Tuachane na hii imani ndugu zanguni
 
Nimekutana na ferooz leo nimefurahishwa sana na mwenendo wake veeery calm guy down to earth hataki makuu kabisa....nadhani muda ni muafaka sasa kwa wenzake kuiga mfano wa kijana huyu

Hayuko on top that's why, hata mwingine ataandika kama ulivyoandika wewe akikutana na Diamond mwaka 2016
 
mmmh mie kaniacha hoi kutoka kuimba nyimbo zile kali kali kama ninao ninao ninao ninao dr usinipe moyo mpaka kuhamia kwenye sijui mduara ule ama mdumange ...
 
Wasanii waliopanuka mawazo wamesoma alama za nyakati na wamegundua African music unalipa sana, hata jingle za makampuni utapata, sio kubana pua. Fuatilia washindi wa Bongo Star search na Kilimanjara Music Award, utagundua hilo, huu ni utafiti mdogo tu wa mwelekeo wa muziki wa Bongo. Hongera Ferooz kwa kwenda na waqti
 
Back
Top Bottom