Ferouz: Inaniwia vigumu kuacha madawa ya kulevya

Ferouz: Inaniwia vigumu kuacha madawa ya kulevya

Bnafai hawa wasanii wanayokutana nayo(MADAWA) nawaunga mkono waendelee tu maana kama wanajiita kioo cha jamii. Je, kufanya hivo ndo kioo cha jamii? Huu upumbafy sio wa kuvumilia hata kidogo. Niliposikia sikia humu jamii forum kuwana Hemed anatumia MADAWA ys kulevya(PHD) nimepiga marufuku kuangalia bongo mavi(movie) ndani kwangu. Wanafundisha ujinga ujinga tu kwa watoto wetu
 
Jana nimemuona Ferooz Sinza Mori pale " Lachaz" ...

Bora Chid vitz asee..
 
~~~~>>>>Hii kitu ilinikosa kosa baada ya Jamaa yangu kuniambia kuwa Ukitumia madawa utachelewa kupiga bao [Kukojoa]..........

Namshukuru Muumba wa mbingu na ardhi ktk kuniepusha na hili.
Ha ha ha haa!
 
79ea88ac3b7c1bce42b2fb8485ba523a.jpg
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] lahaulaaaaaaa mr blue labda aache jana au leo


Huyu c alitangaza ameacha mpaka bangi
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] lahaulaaaaaaa mr blue labda aache jana au leo


Huyu c alitangaza ameacha mpaka bangi
Hiyo kitu ukianza ni maagano ya milele...no kuacha duh
 
Weeekaaaa babaa tumiaaaa mzeee huo ndo utamu wa dunia uliobak kwenu

Mafans tulikupenda ila unga umekupenda zaid
 
Back
Top Bottom