Ferouz: Inaniwia vigumu kuacha madawa ya kulevya

Mbinu ya kizamani sana hiyo mkuu! Ukiifuatilia hiyo ya viatu juu ya kamba hutoambulia kitu
 
Watu wanatoboa kimaisha alafu wanarudi kuwa mateja dah.
 
Wakiulizwa wanaponunua hawataki kutaja, ina maana wanaogopa hawatauziwa tena? Sasa kama una nia ya dhati kabisa kuacha ni bora umtaje ili kesho asikuuzie tena
Unafliri n rahis hivo kumtaja muuzaj
Waheshimiwa wa serikali wenyw wamekaa kimy sembuse huyu teja anaambiwa awataje
Hata awekewe dola hata taja hata mmoja
 
Kamsikilizishie inawezekana akapata ujumbe akajuta na kuacha
 
Ni vigumu kuwapata hao mapolisi ambao wana nia ya dhati. Hii inaomesha wazi kazi hiyo wameishindwa ndio maana vijana wanazidi kuteketea. Wakikamata Muuza unga wanataka Pesa wakipewa wanawaacha waendelee na kazi. Hili ni suala zito sana.
 
Polisi hawajawa tayari kupambana na wauza ngada kwa sababu wauza Ngada tunawafahamu na hata PT wanafahamu vyema!!
 
Aisee jaman eee mwenyezi mungu nusu kizazi hiki nikimkubuka nado ndo huyu. Niliyokuwa namuona bba kweli uga usicheze nao dah
 
Duh [emoji146] hatari sana kijana umeandika kama katika ile blog post ya mtanzania digital au blog yako shekhe
 
Kinachoniumiza akili ni utumiaji Kwa miaka 20 ijayo watoto wetu itakuwaje maana wakati nakua ukimwi ulikuwa tishio sana na ikisikia MTU anaukimwi ulikuwa unamwonea huruma sana lkn sio kama sasa umekuwa hautishi ingawa bado ni hatari sasa Kwa miaka ijayo utumiaji Wa madawa kama hakutakuwa na ukali zaidi ya uliopo watumiaji watakuwa wengi na italigharimu taifa kibajiti na kirasilimali watu naomba selikari itusaidie kutokomeza jambo hili
 
Wauza unga wajanja sana wanawarubuni wasanii waingie kwenye matumizi ya unga ili kupata uhakika wa soko la bidhaa zao pia wanajua ni rahis msanii kuvuta mashabiki wake kutumia. Pia siku hizi wanawaingiza wavuta bangi kwa kuwachanganyia na unga bila kujijua baadae ukigundua unaona bora uhamie kwenye stimu kali zaidi ya unga. Ndo mana siku hizi wavuta bangi wengi wanakuwa mateja tofauti na zamani ambapo mla unga na mvita bangi walikuwa hawapendani.
 
Kila mtu sasa hivi anajua madhara ya unga,lkn jiulize kwanini watumiaji wanaongezeka? Me nahisi ni hujuma wanafanyiwa kama kuingiziwa kwenye vinywaji bila wao kujua
Ndio ivyo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…