Ferouz: Inaniwia vigumu kuacha madawa ya kulevya

~~~~>>>>Hii kitu ilinikosa kosa baada ya Jamaa yangu kuniambia kuwa Ukitumia madawa utachelewa kupiga bao [Kukojoa]..........

Namshukuru Muumba wa mbingu na ardhi ktk kuniepusha na hili.
[emoji13] [emoji13] [emoji263] [emoji263]
 
Alisema ''Sisi tulimwambia lakini hakusikia, Madawa ya kulevya kwa pupa kavamia''!!
 
Nadhani umaarufu una pressure kubwa sana kuu-maintain ndiyo sababu wengi walio maarufu wanajikuta wamezama kwenye vilevi. Siyo Bongo tu, hata nje huko tangu kina Elvis, MJ, Lil Wayne, na wengine kibao wanajihusisha humo.

Nilimskia Scott Storch akielezea enzi yake ya kula hizo vitu, kuna A-list celeb mmoja(female) yeye alikuwa anavuta kupitia lile tundu linalofichwa na makalio.

Kuna laana tu huletwa na umaarufu.
 
Starehe na steji zake
1. Pombe
2. Sigara
3. Bangi(Ganja) au Sigara ya TRA (sigara ambayo TRA walikataa kuchukua kodi)
4. Valium,
5. Unga (cocaine)
6. Heroine (kujichoma sindano)
7. Kuwa chizi/kukata ringi au kufa kabisa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Starehe na steji zake
1. Pombe
2. Sigara
3. Bangi(Ganja) au Sigara ya TRA (sigara ambayo TRA walikataa kuchukua kodi)
4. Valium,
5. Unga (cocaine)
6. Heroine (kujichoma sindano)
7. Kuwa chizi/kukata ringi au kufa kabisa
[emoji102]
 
Mkuuu hebu tririka yapi yalikusibu
Acha tu mkuu. Kwa umri wangu ulikua udhalilishaji sn. Km anasoma humu atajua na nafsi yake itamwambia hili janga alilonalo ni karma kwa mabaya alotendea watu alipokua maarufu.

Asante karma
 
Wapelekwe Indonesia kwa yule Raisi waponywe
 
Acha tu mkuu. Kwa umri wangu ulikua udhalilishaji sn. Km anasoma humu atajua na nafsi yake itamwambia hili janga alilonalo ni karma kwa mabaya alotendea watu alipokua maarufu.

Asante karma
Hana uwezo wakuwa huku mkuu, sasaiv hata baiskel hana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…