King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,077
- 2,705
Kwa wale wapenzi na washabiki wanaomkubali ferre gola lepadre, ambao wameweza kusikiliza album yake yote ya dynastie yenye nyimbo 18. Mtakua mmeona jamaa alivyo na uwezo mkubwa hasa kwenye nyimbo ga toc toc aliyomshirikisha josey, ndio nikasema hatari sana huyu kiumbe hafai kabisa. Hivyo wakuu mnaopendezwa na nyimbo za ferre gola na mmefanikiwa kufisiliza album yake yote ya dynastie nasubiria mrejesho wenu kuhusu hii album.