Rukube
JF-Expert Member
- May 9, 2018
- 245
- 477
Vita imana huwezi kumpa Ferre sifa peke yake alikua chini ya Werrason,pia original ya vita imana Ipo kwenye album ya bendi Mason Mere,100 kilos pia original Ipo kwenye album ya bendi Les marquisInategemea wapi, kwa rhumba sio fally tu ila hakuna mwanamuziki yoyote wa dunia hii anampata ferre katika rhumba, sikiliza zazou, mississippi, 100 kilos, vita imana na dynastie uone balaa la huyo mtu.
Katika mahadhi ya dance (ndombolo) ni kweli fally kaachwa na wengi akiwemo fally ila sio rhumba.