King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,077
- 2,705
Hatari sana huyu kiumbeHuyo jamaa ni nyoko
Mkuu huyu jamaa anakipaji kikubwa sana.Funga kazi ni Carté Rose, lile Rhumba jamaa amelalamika sana.
Mkuu mimi kamasutra, realite na 100 kilos ni balaa nazipenda sana. Ijapokua vita imana ni balaa zaidi.Yote kwa yote Ferre Gola le Padré katika ngoma zake zote hakuna ngoma kali kuizidi Vita Imana, ile ngoma ilipangiliwa vilivyo, nasikia kule Congo huwaambii kitu kuihusu Vita Imana, unachukuliwa kama wimbo wa Taifa.
Mkuu ingia you tube ni bando lako tuuIweke hiyo nyimbo nacc tuenjoy
Huyo fally ipupa ananyimbo chache nazopenda nyingine huwa sizielewi kabisa mpaka natilia shaka ubunifu wake katika utungaji wa nyimbo zake, lakin ferre gola sauti nzuri mziki umetulia rythm ndio usiseme.Team f tuwaangalia tu nakusema hiii
Ferre Gola hampati Fally hata nukta,Huyo fally ipupa ananyimbo chache nazopenda nyingine huwa sizielewi kabisa mpaka natilia shaka ubunifu wake katika utungaji wa nyimbo zake, lakin ferre gola sauti nzuri mziki umetulia rythm ndio usiseme.
fally hampati ferre hata punjeFerre Gola hampati Fally hata nukta,
fally hampati ferre hata punjeFerre Gola hampati Fally hata nukta,
Hebu skiliza ,Science fiction,fally hampati ferre hata punje
Zipo nyingi tu mkuu, 100kilos si unaipata?Yote kwa yote Ferre Gola le Padré katika ngoma zake zote hakuna ngoma kali kuizidi Vita Imana, ile ngoma ilipangiliwa vilivyo, nasikia kule Congo huwaambii kitu kuihusu Vita Imana, unachukuliwa kama wimbo wa Taifa.
Inategemea wapi, kwa rhumba sio fally tu ila hakuna mwanamuziki yoyote wa dunia hii anampata ferre katika rhumba, sikiliza zazou, mississippi, 100 kilos, vita imana na dynastie uone balaa la huyo mtu.Ferre Gola hampati Fally hata nukta,
Huyo jamaa namkubali sana japo ni kafiriKwa wale wapenzi na washabiki wanaomkubali ferre gola lepadre, ambao wameweza kusikiliza album yake yote ya dynastie yenye nyimbo 18. Mtakua mmeona jamaa alivyo na uwezo mkubwa hasa kwenye nyimbo ga toc toc aliyomshirikisha josey, ndio nikasema hatari sana huyu kiumbe hafai kabisa. Hivyo wakuu mnaopendezwa na nyimbo za ferre gola na mmefanikiwa kufisiliza album yake yote ya dynastie nasubiria mrejesho wenu kuhusu hii album.