Ferre Gola dynastie album

Yote kwa yote Ferre Gola le Padré katika ngoma zake zote hakuna ngoma kali kuizidi Vita Imana, ile ngoma ilipangiliwa vilivyo, nasikia kule Congo huwaambii kitu kuihusu Vita Imana, unachukuliwa kama wimbo wa Taifa.
Le Padre anajua bhana.... Vita Imana x 100Kilos x Kamasutra; mikoba ya rhumba kashika yote peke yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…