venance7
JF-Expert Member
- May 15, 2019
- 558
- 1,645
Ni mtazamo wangu tu kuhusu hawa wanamuziki wakongo ambo mara nyingi niliona wakishindanishwa kuwa nani ni bora zaidi ya mwingine.Fere gora ana vocals kali sana na nyimbo zake nyingi zimewahi hits nyimbo kama Vita imana,kilos 100,mea culpa, Kamasutra na nyingine nyingi,fally ana uwezo nae ana hits Kama asocie,eloko oyo nk lakini kiuandishi, vocals nadhani ferre gora yupo juu zaidi.