Ferre Gora ni zaidi ya Fally Ipupa

Ferre Gora ni zaidi ya Fally Ipupa

venance7

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2019
Posts
558
Reaction score
1,645
Ni mtazamo wangu tu kuhusu hawa wanamuziki wakongo ambo mara nyingi niliona wakishindanishwa kuwa nani ni bora zaidi ya mwingine.Fere gora ana vocals kali sana na nyimbo zake nyingi zimewahi hits nyimbo kama Vita imana,kilos 100,mea culpa, Kamasutra na nyingine nyingi,fally ana uwezo nae ana hits Kama asocie,eloko oyo nk lakini kiuandishi, vocals nadhani ferre gora yupo juu zaidi.
 
tatizo tu Felle hayuko socio na hana maconectionooo ya mapromota duniani.
Fallie anabebwa na washikaji kila kona, wanawake dunia nzima wanamzimia kinoma na hivyo masela nao wanajikuta wanamzimia kwa matakwa ya madem zao.
all in all wote wakali sana.
Veppe yule dogo Shikito bado anaimba
 
Hebu kaa tulia halafu sikiliza sweat life ya fally harafu rudi tena kwenye mzani wako uwapime tena. Achana na Falii mjomba fallii ni IPUPA yule
 
Hebu kaa tulia halafu sikiliza sweat life ya fally harafu rudi tena kwenye mzani wako uwapime tena. Achana na Falii mjomba fallii ni IPUPA yule
La vieste belle Sikh niliacha kumsikiliza jamaa ni pale mchepuko alivyokuwa anacheza nyimbo zake na kuimba kwa madaha kutoka kwenye PC yangu mwanaume nikamind.
Turudi kwenye mada wote ni wanafunzi wa koffi na fally alifanya vizuri zaidi na anaendelea kufanya vizuri ferre hana ubavu wa kufanya show states akajaza ground.
 
Ni mtazamo wangu tu kuhusu hawa wanamuziki wakongo ambo mara nyingi niliona wakishindanishwa kuwa nani ni bora zaidi ya mwingine.Fere gora ana vocals kali sana na nyimbo zake nyingi zimewahi hits nyimbo kama Vita imana,kilos 100,mea culpa, Kamasutra na nyingine nyingi,fally ana uwezo nae ana hits Kama asocie,eloko oyo nk lakini kiuandishi, vocals nadhani ferre gora yupo juu zaidi.
Mimi namupenda christian bella
 
vocal kali kwa fundi wangu ferre..sebene na music as a bussines hapo fally ipupa ndo kwake.....ebu tupate kibwagizo kidogo....jumpy mongala lokomi libaye boye,yokomi ezombo koye,nashimi batshi motema na nalingaka nayo mingi...iyo vita imana bwana...hahaaa.af kuna kamasutra,,3eme de toit,poison de' avril..100kilos..
 
La vieste belle Sikh niliacha kumsikiliza jamaa ni pale mchepuko alivyokuwa anacheza nyimbo zake na kuimba kwa madaha kutoka kwenye PC yangu mwanaume nikamind.
Turudi kwenye mada wote ni wanafunzi wa koffi na fally alifanya vizuri zaidi na anaendelea kufanya vizuri ferre hana ubavu wa kufanya show states akajaza ground.
Koffi alimchomoa Ferre toka Maison Merre,akamng’arisha.Ferre na Fally wakashindwa kukaa pamoja since kulikua dhana kuwa mmoja anapendelewa zaidi na mwalimu.Ferre alianza muzik mapema kidogo kuliko mwenzie na ushindan ulikua mkali ndan ya Quarte Latin lakini mwana mpendwa akashinda na Ferre akaondoka.wote wakali kitofauti
 
Bado anaimba juzi alikuja GOMA tuliburudika ila ferre hakuja alialikwa na kinywaji maarufu huku kinaitwa PRIMUS
tatizo tu Felle hayuko socio na hana maconectionooo ya mapromota duniani.
Fallie anabebwa na washikaji kila kona, wanawake dunia nzima wanamzimia kinoma na hivyo masela nao wanajikuta wanamzimia kwa matakwa ya madem zao.
all in all wote wakali sana.
Veppe yule dogo Shikito bado anaimba
 
dah!! wote wanajua bwana na kila mmoja ana radha yake... Fere kitu kilo100, Vita imana, Kamasutra.....fally nae du!!! Kitu kama cadena, traveling love, French kiss, sopeka hizi nyimbo Kuna kipindi nilikua naimba kwa hisia sana
 
tatizo tu Felle hayuko socio na hana maconectionooo ya mapromota duniani.
Fallie anabebwa na washikaji kila kona, wanawake dunia nzima wanamzimia kinoma na hivyo masela nao wanajikuta wanamzimia kwa matakwa ya madem zao.
all in all wote wakali sana.
Veppe yule dogo Shikito bado anaimba
Daah shikito ana balaa sana,zile nyimbo ambazo felle gora alikuwa anampandisha ktk concert zake dogo aliua Sana,ananyimbo sahizi amekuwa mkubwa kidogo japo hazijawa heat
 
vocal kali kwa fundi wangu ferre..sebene na music as a bussines hapo fally ipupa ndo kwake.....ebu tupate kibwagizo kidogo....jumpy mongala lokomi libaye boye,yokomi ezombo koye,nashimi batshi motema na nalingaka nayo mingi...iyo vita imana bwana...hahaaa.af kuna kamasutra,,3eme de toit,poison de' avril..100kilos..
Dah Vita imana naielewa kupita maelezo
 
Hahaha naona mtazamo wako sio mbaya kaka ila ukitaka kujua uasilia wa hawa jamaa rudi nyuma wakati wako chini ya Baba wao mlezi wa mziki Koffie Olomide wote wakiwa kama vocalists ndio utaelewa kuwa Ferre ni wa kiwango cha kawaida ila Fally Ipupa ndio alikuwa na large portion ya mda wa kuimba hasa katika live shows kuliko Ferre plus fan base ya Fally ilikuwa juu kuliko Ferre. Na sio kuwa Fally ana connections kubwa/nyingi ila tangu wakati huo alikuwa anajizolea mashabiki wengi pole pole. Na sio tu hao wawili hata Bill Clinton na Ferguson walikuwa wakali ila unachoshuhudia mpaka leo kwa Fally ni jitihada zake za kujiwekeza zaidi nje ya DRC kuliko wenzake hasa ubelgiji na Ufaransa pamoja na mataifa ya Francophone hapa Africa hata kuteka nyoyo za mastaa wa kule kama akina drogba na samuel etoo na hii mbinu aliitoa kwa Boss wake wa zamani Koffie Olomode na Canada akawashika akina Serge Ibaka na Dj's wanaopiga kwenye NBA arenas na kwingineko, kumbuka Canada wanatumia Kifaransa zaidi ya English. Sometimes sanaa ina hitaji sharp mind na ujanja ujanja wa kutofautisha brand za usanii baina ya wana sanaa wenyewe.
 
Back
Top Bottom