La vieste belle Sikh niliacha kumsikiliza jamaa ni pale mchepuko alivyokuwa anacheza nyimbo zake na kuimba kwa madaha kutoka kwenye PC yangu mwanaume nikamind.Hebu kaa tulia halafu sikiliza sweat life ya fally harafu rudi tena kwenye mzani wako uwapime tena. Achana na Falii mjomba fallii ni IPUPA yule
Mimi namupenda christian bellaNi mtazamo wangu tu kuhusu hawa wanamuziki wakongo ambo mara nyingi niliona wakishindanishwa kuwa nani ni bora zaidi ya mwingine.Fere gora ana vocals kali sana na nyimbo zake nyingi zimewahi hits nyimbo kama Vita imana,kilos 100,mea culpa, Kamasutra na nyingine nyingi,fally ana uwezo nae ana hits Kama asocie,eloko oyo nk lakini kiuandishi, vocals nadhani ferre gora yupo juu zaidi.
Koffi alimchomoa Ferre toka Maison Merre,akamng’arisha.Ferre na Fally wakashindwa kukaa pamoja since kulikua dhana kuwa mmoja anapendelewa zaidi na mwalimu.Ferre alianza muzik mapema kidogo kuliko mwenzie na ushindan ulikua mkali ndan ya Quarte Latin lakini mwana mpendwa akashinda na Ferre akaondoka.wote wakali kitofautiLa vieste belle Sikh niliacha kumsikiliza jamaa ni pale mchepuko alivyokuwa anacheza nyimbo zake na kuimba kwa madaha kutoka kwenye PC yangu mwanaume nikamind.
Turudi kwenye mada wote ni wanafunzi wa koffi na fally alifanya vizuri zaidi na anaendelea kufanya vizuri ferre hana ubavu wa kufanya show states akajaza ground.
tatizo tu Felle hayuko socio na hana maconectionooo ya mapromota duniani.
Fallie anabebwa na washikaji kila kona, wanawake dunia nzima wanamzimia kinoma na hivyo masela nao wanajikuta wanamzimia kwa matakwa ya madem zao.
all in all wote wakali sana.
Veppe yule dogo Shikito bado anaimba
Daah shikito ana balaa sana,zile nyimbo ambazo felle gora alikuwa anampandisha ktk concert zake dogo aliua Sana,ananyimbo sahizi amekuwa mkubwa kidogo japo hazijawa heattatizo tu Felle hayuko socio na hana maconectionooo ya mapromota duniani.
Fallie anabebwa na washikaji kila kona, wanawake dunia nzima wanamzimia kinoma na hivyo masela nao wanajikuta wanamzimia kwa matakwa ya madem zao.
all in all wote wakali sana.
Veppe yule dogo Shikito bado anaimba
Dah Vita imana naielewa kupita maelezovocal kali kwa fundi wangu ferre..sebene na music as a bussines hapo fally ipupa ndo kwake.....ebu tupate kibwagizo kidogo....jumpy mongala lokomi libaye boye,yokomi ezombo koye,nashimi batshi motema na nalingaka nayo mingi...iyo vita imana bwana...hahaaa.af kuna kamasutra,,3eme de toit,poison de' avril..100kilos..
Bado anaimba juzi alikuja GOMA tuliburudika ila ferre hakuja alialikwa na kinywaji maarufu huku kinaitwa PRIMUS
Ni bia mzee baba Kama safari lager kwa bongoHivi hii primus ni kama bia au kama Malta