Fertility Boost for both women and men are available.

Fertility Boost for both women and men are available.

Goodsize

Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
55
Reaction score
5
Hi all,
Kwa wale wanaohitaji kuboost fertility kwa njia ya supplements (approved ones) tuwasiliane (PM).
 
Mkuu hebu funguka.
Elezea walu kidogo inafanya kazi vipi! Infertility ina swaga zake... Kwanza kwa wanaume au wanawake au wote?
Tujue ni zile associated na erectile dsyfuntion au ni kublock kwa fallopian tubes. Ni tatizo la hormones au nini hasa hizo supplements zinasaidia.
Avoid blanket statements.......Kama huwezi toa abstract basi piga fotokopi ya leaflet ya hizo supplements kisha scan na kuitundika humu!

Karibu tafadhali
 
Wakuu kwanza samahanini kwa kutotoa maelezo na ufafanuzi kuhusu hizi supplements hapo awali.
Kwa ufupi hizi supplements ni natural herbs na ziko za wanaume na wanawake.
Kwa wanaume - Zinasaidia kuongeza sperm count (wingi), motility (kasi), morphology/shape (muonekano) na pia ubora wa sperm kwa ajili ya kurutubisha yai la mwanamke.
Kwa wanawake - Zinasaidia kuweka sawa homones (hormonal balance), na kuongeza ubora wa mayai kwa ajili ya urahisi wa kurutubishwa. Pia zinawezesha uzalishwaji mzuri wa ute ndani ya njia ya uzazi na ukuta wa mfuko wa uzazi (fertile-quality cervical mucus) ili kurahisha upandikizwaji wa yai ambalo limesharutubishwa (implantation of fertilized egg/embryo).
Pia zinaongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wanandoa..!
 
Back
Top Bottom