Wakuu kwanza samahanini kwa kutotoa maelezo na ufafanuzi kuhusu hizi supplements hapo awali.
Kwa ufupi hizi supplements ni natural herbs na ziko za wanaume na wanawake.
Kwa wanaume - Zinasaidia kuongeza sperm count (wingi), motility (kasi), morphology/shape (muonekano) na pia ubora wa sperm kwa ajili ya kurutubisha yai la mwanamke.
Kwa wanawake - Zinasaidia kuweka sawa homones (hormonal balance), na kuongeza ubora wa mayai kwa ajili ya urahisi wa kurutubishwa. Pia zinawezesha uzalishwaji mzuri wa ute ndani ya njia ya uzazi na ukuta wa mfuko wa uzazi (fertile-quality cervical mucus) ili kurahisha upandikizwaji wa yai ambalo limesharutubishwa (implantation of fertilized egg/embryo).
Pia zinaongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wanandoa..!