Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Mahari yake napokea mimi, we lete tuunaona sasa! hii ni mipango ya mungu tuwe pamoja. hata atoto atakubali. kifasheni huku wanasema kuna dry winter hivyo unapaswa kupaka mafuta yanayotunza unyevu wa ngozi na kukinga jua. unakuta baridi lakini jua likitoka lina unguza sababu ya low humidity. kwahiyo hapa kutoa posa naelekea wapi?