Mahari yake napokea mimi, we lete tuunaona sasa! hii ni mipango ya mungu tuwe pamoja. hata atoto atakubali. kifasheni huku wanasema kuna dry winter hivyo unapaswa kupaka mafuta yanayotunza unyevu wa ngozi na kukinga jua. unakuta baridi lakini jua likitoka lina unguza sababu ya low humidity. kwahiyo hapa kutoa posa naelekea wapi?
Sasa hapo ulipo si mama kijacho tayari, unatamani nini tena?Yaani acha tu
Napokea mimi mwenyeweMahari yake napokea mimi, we lete tu
Si ndio natamani aje akamilishe hiyo hamu.Sasa hapo ulipo si mama kijacho tayari, unatamani nini tena?
Napokea mimi mwenyewe
Afu si una mtoto mimi, au me sina swagga za kupendeza?Si ndio natamani aje akamilishe hiyo hamu.
Mtoto wewe hata dera hupendezi unanitia hasara tu, bora aje kaboon junior ndio atakukomesha.Afu si una mtoto mimi, au me sina swagga za kupendeza?
Hahaha au sijui ni hii shape ya mkaza mjomba ndo inaniangusha tehMtoto wewe hata dera hupendezi unanitia hasara tu, bora aje kaboon junior ndio atakukomesha.
Na hilo chogo hata ukipendeza huonekani linaonekana chogo tu.Hahaha au sijui ni hii shape ya mkaza mjomba ndo inaniangusha teh
Hahaha machogo ni kwa ajili ya watu magenius, wewe komalia tu kichwa bapaNa hilo chogo hata ukipendeza huonekani linaonekana chogo tu.
Nataka afuate kichwa cha babake, ila kile kichwa nacho wakati mwingine km kimevutishwa bange.Hahaha machogo ni kwa ajili ya watu magenius, wewe komalia tu kichwa bapa
Hahaha daddyyyyyyyyyyyyyyyyyy Kaboom njoo uone hukuNataka afuate kichwa cha babake, ila kile kichwa nacho wakati mwingine km kimevutishwa bange.
hahha mwenzio vifuniko vya asali acha nianze kutafuta asali ya tabora nione kakifuniko kake mweeeeeWe uliwahi ona wapi wigi halifuati direction ya kichwa? Yaani huyu baba yako acha tu.