Squidward
JF-Expert Member
- Jul 21, 2014
- 7,828
- 9,546
Leo nilipofungua tbc1 na kukutana na huyu jamaa nikazima tv hapa hapo.
yani uzime tv kisa festus makeribu, jf mnavituko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo nilipofungua tbc1 na kukutana na huyu jamaa nikazima tv hapa hapo.
Hivi Kumbe bado kuna watumnaangalia tbc mpaka Leo?Baadhi yenu huyu Brother sio mgeni kwenu.Wale mnaofuatialia mziki huu wa kusifu na kumtukuza mungu nadhani mnamfaham zaidi.Jamaa anamudu vizuri sana kipindi chake hasa anapochombeza na zile mbwembwe zake za kuigiza nyimbo za waimbaji, ukijumlisha na kile kisauti chake kinacho enda sambamba na kicheko chake.Nampongeza kwa hilo.Ila kuna wakati flani nahisi kama anapitiliza,mikogo inakuwa mingi sana mpaka anaboa,akianza kusifia jambo atasifia mara mbili mbili mpaka inakuwa kero.akianza kucheka ndio usiseme atacheka weeeee....... anyways huo ni mtazamo wangu tuu sijui wa kwenu wadau.
Rc mwenge, unamaanisha lile kanisa la mt maxmillian kolbe-mwenge ukivuka TRA kama unaelekea Afrika sana?Hapo nadhani ndio anapokosea.anatakiwa kutoa haki sawa kwa madhehebu yote na sio kupendelea sana RC peke yake.BTW alikuwa ni mwanakwaya wa RC kanisa la Mwenge sijui kama bado anaendelea.
Hiyo ndio style yake.... Ndicho iamtofautisha yeye na wengine kwenye utangazaji......asingekuwa na kitu tofauti tusingekuwa twamjadii hapaMi nashauri atofautishe style ya kutangaza katika vipindi. Sioni tofauti anaposhika kipindi cha Tumwimbie Bwana na kile cha Zamadamu. Vicheko ni vilevile, mtiririko wa sauti ni uleule, mbwembwe na sifa ni za aina ileile. Mabadiliko ya style humvutia mtazamani, akawa na hamu ya kuendelea kuangalia/kusikiliza - bila kuchoka au kuwa bored. Nadhani inawezekana, au?
Kama Sese Vileananichefua na uongeaji wake kama punga bana
ukute jamaa ni mchicha mwiba(mwanaume shoga wa kisirisiri ambaye hana dalili za kumtambua kwamba yeye ni shoga).ananichefua na uongeaji wake kama punga bana
Nyimbo nyingi za Wakatoliki Zinaboa. Awekw Gospel na hymn tofauti tofautiBaadhi yenu huyu Brother sio mgeni kwenu.Wale mnaofuatialia mziki huu wa kusifu na kumtukuza mungu nadhani mnamfaham zaidi.Jamaa anamudu vizuri sana kipindi chake hasa anapochombeza na zile mbwembwe zake za kuigiza nyimbo za waimbaji, ukijumlisha na kile kisauti chake kinacho enda sambamba na kicheko chake.Nampongeza kwa hilo.Ila kuna wakati flani nahisi kama anapitiliza,mikogo inakuwa mingi sana mpaka anaboa,akianza kusifia jambo atasifia mara mbili mbili mpaka inakuwa kero.akianza kucheka ndio usiseme atacheka weeeee....... anyways huo ni mtazamo wangu tuu sijui wa kwenu wadau.
Hapa nishakula pilau la nyumbani Nipo namtizama bwana makerubi live TBC, anatangaza kipindi maalumu cha xmas carols. krisimasi hii yupo kibaha kanisa katoliki na kwaya ya mtakatifu don bosco. Ni burudani kwelikweliJamaa anapatia sana. Christmas hii ya 2017