Kwanza nimesikia waandaaji wameboa...wamekodisha gereji mchwara, choo kimoja kichafu, joto, mziki wa kigugumizi, hakukuwa na soka kama walivyoahidi na ulabu kidogo. Lakini kama kawaida wabantu wanavyopenda kumingle; walishow up kutoka kona mbalimbali tu. Kama hao wajamaa waliunder-estimate ujio wa watu, then kazi hawaiwezi, wasiseme wanataka get together tena next time. Pengine watapeleka watu kwenye zizi la ng'ombe.
Nasikia mkuu Mwanakijiji naye alichukua Elites wenzie na kwenda kuongelea JF chemba....ndivyo hivyo mkuu?? kama mkuu ulifanya hivyo....Noma.