S. S. Phares
JF-Expert Member
- Nov 27, 2006
- 2,138
- 85
Jibaba naona umenifananisha nope sikuwepo MN!..I haven't been to MN for a while...mmh nahisi basi unanifananisha wee hiyo ya Ohio nayo naona umeotea huna uhakika kama uliniona au lah...
The kama wewe bado mdogo ninachokushauri ni ukae tuu nyumbani maana hizi shughuli za this weekend na watoto wadogo haziendani kabisa....ushauri wangu Jibaba just stay home watch movies au paly video games....wait for next time ukifika age ya kura raha hahahaha....
KWI KWI KWI..mmh wangu kelly yaani yamekua hayo mtumee hee
mimi mtoto lakini ntakuja tuu kwenye party na ntakupa HI kwenye gathering ya MK ama unasemaje? Ila ohio sijakufananisha maana hata mie nili fly in pale kwa ajili ya mshikaji alikua ana engage.
Jibabab Mimi sasa unanichanganya...inakuwaje wewe uwe mtoto alafu yule aliyekuwa ana engage awe mshikaji wako wakati the guy siyo mtoto yule ni old skool?......haya wee njjoo unipe hi5 ila nimeshakushtukia weye nani kama wewe siyo yule kaka aliyekuwa ananionyesha namba za simu kwenye simu yake za mawaziri kutoka bongo cjui...ulikuwa unanithibitishia kuwa watu wanakupakazia....am i right or wrong?
Ila jibaba yote maisha au siyo!....lets have fun...I will see yuou kesho jioni.
Holla!
Believe it or not hizi party mimi sinanitamanisha hata nihamie US..wabongo wa UK ugumu umetuzidi..yaani wao ku-party wanaona dhambi sana.
Ahh wacha tunaonee wivu wa USA.
useful
Plenty of Daytime Activities, Sports Events(Simba v/s Yanga), BBQ
yupeeeee!! wameturuhusu kutimka mapema kuwahi traffic.. off to Columbus!! Ohio.. here I come!!!
Wakuu uwezekano wangu wa kuwepo huko unazidi kupungua, lakini bado tunajitahidi kuwepo huko, ingawa dalili za matumaini zinaanza kupungua.
mmmh KELLY..Mawaziri tena? Si ndo mafisadi hao? Ene wey...ishu ni kwamba NIMEONGEA LIVE NA DJ BONNY LUV YUKO NDANI YA NCHI NA BY 9 AM EST IJUMAA ATAKUWEPO NDANI YA COLUMBUS...
PARTY MKOOOO??
NAOMBA NIWAUNGANISHE NA KIBAO KIFUATACHO...yaani "vikuku vinanukiaa eeeeh mamaa yeke yeke..mmpo?
[media]http://www.youtube.com/watch?v=cIUD1Z3pU1g[/media]
WELCOME TO COLUMBUS YAALL...
Kelly shamrashamra hizi ni wapi?.......au na ajuaye anuani na atupe basi nasi tukajimwage.
Baada ya kutojibu kinong'onezo (PM) changu, then nikajua sikuwa miongoni mwa haooo "Elites", hivyo nikaamua nisikilizie tu. Si ilikuwa kwa mwaliko tu 'first 20' au sio?mwazange nilidhani unakuja..?