MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Si mchezaji mbaya, ila kuna mambo kadhaa anayoyakosa na kumfanya kuwa inexperienced player, ila kama angeweza kuongeza juhudi huenda angeonja ladha ya michuano mikubwa ya CAF pengine kutwaa japo medali moja. Si mchezaji anayeweza kuchukua position nzuri anapokuwa ndani ya 18, hata mashuti ya mbali anayojisifia nayo mengi ni off target. Huenda akiongeza juhudi anaweza kufika level za Mudathir na pengine kupata timu za level kubwa zaidi ya hapo alipo.