MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
- Thread starter
- #21
Unaposema medali inayohesabiwa ni moja unamaanisha nini? Medali ya CAF aliyovalishwa Mudathir Feysal à nayo? Niambie mechi yoyote ya CAF ambayo Feysal ana experience nayo, Niambie goli lolote la CAF ambalo Feysal amefungaMedali inayohesabiwa ni moja, acheni kujisifu na medal ya washindwa, et mtu unajisifu kuwa pili 😂😂😂😂
Hakuna mwenye medal ya CAF