MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Nasi tuwapore Dube atatufaa sana pale mbeleUmesema kweli Fesal hamna kitu
Azam walijichanganya
Usajili wa Bangala hoi
Usajili wa Djuma shaban hoi
Bado wanamtaka Mayele
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi naamini Fei ni bora zaidi nashangaa anamlinganisha na Mudathir..Bado kwangu fei ni bora zaidi ya mudathir
We nawe mifano yako bana [emoji1787][emoji1787] umewahi kuona mchezaji kwenda ulaya na miaka 30+. Chama umri imeshaenda hata uarabuni kwa umri wake hapana. Hata huyo Fei haendi kokote. Usifikiri ulaya ni kama mbagala. Unapanda DCMMimi ni Yanga, Feisal anakitu kikubwa miguu na kichwani.
Kichwani yupo vizuri Sana akiwa uwanjani ila anachokosa nguvu, nafasi ya kiungo mshambuliaji au mzuiaji ata uwe na akili vipi kichwani, kitu kitakacho kutofautisha na wachezaji wengine wa kiungo katika modern football ni Kasi na nguvu kwakua brain ya soka ipo.
Feisal anatakiwa alale kwenye uwanja wa mazoezi kwakua basic skills anazo tayari.
Kule AFCON ndio lilikua eneo lake la kujipima na kuji tathmini.
Kule watu Wana maguvu na wanaubonda mwingi, asipo angalia Feisal atakua kama Chama, yaani unatamba kwenye vidimbwi vya maji apa kwetu ila kule bahari kuu (Ulaya) au kwa waarabu wa kaskazini atapasikia tu.
Uko mbele ndio kwenye soka na fwezaaa apa utapata umaarufu na UTI ya kutosha.
Ana medali ngapi za CAF?Mkuu muombe msamaha Feisal,
Huwez mlinganisha Feisal na Muda, fei yupo daraja la juu sanaa
Hivi hayo madaraja mnayapimaje? Kwa mafanikio ya mataji? Au kwa uwezo wa mchezaji mmoja mmoja? Kama mafanikio basi yaweke hayo mafanikioMkuu muombe msamaha Feisal,
Huwez mlinganisha Feisal na Muda, fei yupo daraja la juu sanaa
Unazungumzia mataji au uwezo wa mchezaji mmoja mmoja? Na kivyovyote vile bado muda hamkuti Fei,Hivi hayo madaraja mnayapimaje? Kwa mafanikio ya mataji? Au kwa uwezo wa mchezaji mmoja mmoja? Kama mafanikio basi yaweke hayo mafanikio
Na kama ni uwezo basi wekeni hizo takwimu zao
Yaani faulo ya ndani ya 18 ya adui mnaipiga golini kwa kipa wenu🤣🤣🤣Kule AFCON mtu aliyeongoza kwa back pass kwenye hiyo miciuano ni feitoto na yule mwenzake mwenye way kichwani yule wa simba na huyu huyu feitoto ndio aliyeshauri ile faulo iliyokaribu na 18 za adui ipigwe kuelekea alipo aishi manula badala ya kupiga kwenda kwenye goli la adui
Medali inayohesabiwa ni moja, acheni kujisifu na medal ya washindwa, et mtu unajisifu kuwa pili 😂😂😂😂Ana medali ngapi za CAF?