Feysal Salum akijituma zaidi na kuongeza juhudi anaweza kumfikia Mudathir

Medali inayohesabiwa ni moja, acheni kujisifu na medal ya washindwa, et mtu unajisifu kuwa pili πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hakuna mwenye medal ya CAF
Unaposema medali inayohesabiwa ni moja unamaanisha nini? Medali ya CAF aliyovalishwa Mudathir Feysal Γ nayo? Niambie mechi yoyote ya CAF ambayo Feysal ana experience nayo, Niambie goli lolote la CAF ambalo Feysal amefunga
 
Mzee hadi Mapinduzi unahesabia ni mashindano? Hakuna mashindano ya Mapinduzi katika mashindano yanayotambulika na CAF na FIFA bali kuna ligi kuu, federation cup, CAFCC na CAFCL.

Umekuja kuorodhesha mafanikio ila nimeshangaa kutoweka CAFCC ambayo Yanga ilicheza fainali.
Kumbe alichozidi Fei ni taji moja la ligi kuu?

Nimeomba ili utetezi uwe sahihi kwa wote wawili ziwekwe takwimu zao za michezo rasmi ya kimashindano. Kwanini takwimu zisiwekwe hapa?
 
Unataka mzee, kufika fainal sio mafanikio, mafanikio tuletee kombe,
Second place is always the first loser, and loser is always a loser, hakuna asali nyingine
 
Nenda katafute takwimu,
Hakuna takwimu ambayo huyo Muda wenu kamzidi fei,
Sio magoli wala assist wala makombe,
Achen kumpa hype ambaho hana, mtamponza
 
Unaposema medali inayohesabiwa ni moja unamaanisha nini? Medali ya CAF aliyovalishwa Mudathir Feysal Γ nayo? Niambie mechi yoyote ya CAF ambayo Feysal ana experience nayo, Niambie goli lolote la CAF ambalo Feysal amefunga
Kuvaa loser medal nayo ni kelele? Mzee ile hakuna kitu,
History remember winners not first losers
 
Zingatia maokoto, nani anapata mshahara mkubwa kwenye timu anayochezea kati yao?
 
Kuvaa loser medal nayo ni kelele? Mzee ile hakuna kitu,
History remember winners not first losers
Mbumbumbu mna shida gani
Yan leo umlinganishe Nigeria na Taifa Stars
Mashindano yanaanza na team 32 zinafika final team 2
Ambapo lazima ashinde mmoja hata kwa penalty
Yanga ana medal inatambulika na CAF
Mbumbumbu mbona huwa mnashangalia Quarter final?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani tuacheni chuki Feisal n mchezaji mzuri mbali mno kuliko MUDA..
Hata mchongo wake Yanga n mkubwa Sana tuheshimu maamuzi yake na tusonge mbele
 
Acheni uhuni feitoto ni mchezaji wa daraja la juu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…