Informer
JF-Expert Member
- Jul 29, 2006
- 1,606
- 6,672
Aliyekua Mshiriki wa Big Brother Africa na Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya kutoka Tanzania Feza Kessy baada yakutolewa kwenye shindano hilo kwenye kipindi cha moja kwa moja juma pili iliyopita aliapata nafasi yakukutana na mpenzi wake Oneal kutoka Botswana ambaye yeye pia alikua mshiriki wa The Chase mwaka huu kama waonekanavyo pichani, picha hiyo ameitweet Feza kwenye twitter handle yake.
Pia Feza anatarajiwa kuwasili leo kutoka Afrika ya Kusini mashabiki wake mnaombwa kujitokeza kwa wingi kumpokea Mshiriki huyo ambaye kwa hakika hajaiangusha watanzania tangu ameingia kwenye Jumba hilo..