Feza akutana na Mpenzi wake baada ya kutoka kwenye shindano la Big Brother

Feza akutana na Mpenzi wake baada ya kutoka kwenye shindano la Big Brother

Informer

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2006
Posts
1,606
Reaction score
6,672
FEZA..jpg


Aliyekua Mshiriki wa Big Brother Africa na Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya kutoka Tanzania Feza Kessy baada yakutolewa kwenye shindano hilo kwenye kipindi cha moja kwa moja juma pili iliyopita aliapata nafasi yakukutana na mpenzi wake Oneal kutoka Botswana ambaye yeye pia alikua mshiriki wa The Chase mwaka huu kama waonekanavyo pichani, picha hiyo ameitweet Feza kwenye twitter handle yake.

Pia Feza anatarajiwa kuwasili leo kutoka Afrika ya Kusini mashabiki wake mnaombwa kujitokeza kwa wingi kumpokea Mshiriki huyo ambaye kwa hakika hajaiangusha watanzania tangu ameingia kwenye Jumba hilo..
 
Hilo lipiga picha nalo bwe.ge kweli. Ona mkivuli wake hapo kwenye mlango wa gari. Yaani limeshindwa hata kujificha kidogo.
 
iv nae anamashabiki!au ana mafanzi km ponda!yan kugawa mbunye2 ndo kaiwaklsha tz?ndo maana nchi haindelei,damn it
 
Im too smart for this....way smart
 
Hivi wanaendaga kutafuta mabwana huko.??? Na huku home huwa hawana boyfriend. ..idiot
 
Back
Top Bottom