Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaaah wapi.....wema zake maisha plus na domestic event
demu mkali.
Ka mkali ameolewa?!
ha ha ha ha unanichekeshaga comment zako...!eti ameolewa?atajibu ameolewa bwana'ke c mb.o
Kwa hiyo na wewe umeolewa???!!!!!
Kwa mantik hyo.....mm tayar
Hongera kwa kuwa mkweli na pia pole kwa yule bazazi kutaka kukuoa kwa mieleka ofisini pale kurasini!!!!! Kudos kwa kujitutumua na kuki-save kipochi manyoya!!!!
Ha ha ha...
Mm sipo kurasin mkuu....!ingawa nilisikiasikia tu sakata lao pia.