Kazitunayo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 3,782
- 3,199
Du namuangalia apa FNL EATV jamani uyu mtoto mkali jamani apa ata nyumba nahonga jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawe uwache umbeaaaa kazi kuwaambia wenzio warumi njoo umuone mbea mwenzetu anakuigaaa
Nawe uwache umbeaaaa kazi kuwaambia wenzio warumi njoo umuone mbea mwenzetu anakuigaaa
Siamini ninachokiona , hii miujiza , naona povu lilikuwa linamtoka kwa ajili ya wivu , madai na yeye ka post , too bad umbea wenyew haujui . Kumbe hasir zote zile na yy alikuwa anatafuta kick ya kuanzisha threads mweeh
Mwanaume wa kwel uwez kushinda Insta kufuatilia eti Team nan cjui
nawe uwache umbeaaaa kazi kuwaambia wenzio warumi njoo umuone mbea mwenzetu anakuigaaa
Ona lilivyochanganyikiwa had linaongea pumba , sasa mambo ya Insta yamekujaje apa , we ----- nn , kumbe na wewe ulikuwa unataman kuanzisha thread eeh , aya sasa ushindw wewe tu
Kunya anye kuku , akinya bata kaarisha
Huyu feza kaacha kuvuta bange?
Eeeh mama taratibu basi
Ulikua unavuta nae
Du namuangalia apa FNL EATV jamani uyu mtoto mkali jamani apa ata nyumba nahonga jamani
Sio kuvuta naye tu nilikuwa nabandua kabisa
nshapiga huyo chezea mimi wewe