Feza Kessy

Feza Kessy

Kazitunayo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
3,782
Reaction score
3,199
Du namuangalia apa FNL EATV jamani uyu mtoto mkali jamani apa ata nyumba nahonga jamani
 
Nawe uwache umbeaaaa kazi kuwaambia wenzio warumi njoo umuone mbea mwenzetu anakuigaaa
 
Last edited by a moderator:

Siamini ninachokiona , hii miujiza , naona povu lilikuwa linamtoka kwa ajili ya wivu , madai na yeye ka post , too bad umbea wenyew haujui . Kumbe hasir zote zile na yy alikuwa anatafuta kick ya kuanzisha threads mweeh
 
Last edited by a moderator:
Kwani karudi toka Botswana kwa mume wake yule?
 
Siamini ninachokiona , hii miujiza , naona povu lilikuwa linamtoka kwa ajili ya wivu , madai na yeye ka post , too bad umbea wenyew haujui . Kumbe hasir zote zile na yy alikuwa anatafuta kick ya kuanzisha threads mweeh

Mwanaume wa kwel uwez kushinda Insta kufuatilia eti Team nan cjui
 
Ona lilivyochanganyikiwa had linaongea pumba , sasa mambo ya Insta yamekujaje apa , we ----- nn , kumbe na wewe ulikuwa unataman kuanzisha thread eeh , aya sasa ushindw wewe tu

Kunya anye kuku , akinya bata kaarisha
 
Kiruuuiuuuuuuui limbea kweliii hiliiii umelionaa eeeee teh teh tushawaambukizaa yaan hadi washatuzidi kwa umbeaaaaa
 
Kuna wale madogo wanaitwa Dope Boys Basement wako vizuri
 
Mrs Oneal wenzenu mahasimu wenu wakubwa Polikem wamesha engage last week tunasubiri ndoa.
 
Back
Top Bottom